GLOBAL TV ONLINE: DUDE AZUNGUMZIA MAISHA YAKE NA SANAA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAMBA DUDUBAYA AFUNGUKIA MAISHA YAKE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini 'Mamba Dudubaya' katika pozi ndani ya studio za Global TV Online leo. Mamba Dudubaya akifafanua jambo wakati akihojiwa na Global TV Online leo.…
11 years ago
GPLDUDE ATINGA GLOBAL TV ONLINE
Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online.
Dude akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa (kushoto).…
10 years ago
GPLDUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO
Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya studio za Global TV Online. Dude akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist. Dude akiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.…
11 years ago
GPLMTITU ATINGA GLOBAL TV ONLINE, AFANYA YAKE
Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effects, William J. Mtitu akitabasamu ndani ya studio za Global TV Online. Mtitu (katikati) akipozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kushoto) na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist (kulia).…
10 years ago
GPL30 Mar
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-7QPs5KjijR8/VWSJdQxwhGI/AAAAAAAAuco/1Vn-4TUVI-I/s72-c/k-linn.jpg)
K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design
![](http://1.bp.blogspot.com/-7QPs5KjijR8/VWSJdQxwhGI/AAAAAAAAuco/1Vn-4TUVI-I/s640/k-linn.jpg)
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu.
K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.“Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti ambavyo unaweza kumpenda mtu yoyote yule katika maisha yako,” alisema.
Katika hatua nyingine Miss Tanzania huyo wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/R6PRPxw93vk/default.jpg)
GLOBAL TV ONLINE : JOKATE AFUNGUKA KUHUSU BIDHAA ZA KAMPUNI YAKE.
Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/oCcq6Ci9RxY/default.jpg)
10 years ago
GPL19 Mar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania