Mchango wa Sanaa katika Kiswahili
Katika shule za msingi, sekondari na pia vyuo vikuu lipo somo linalojulikana kama ‘sanaa za maonyesho’. Hili ni somo linalotilia mkazo mbinu mbalimbali za kuwasilisha ujumbe katika hadhira tofauti kwa kutumia lugha na vitendo. Darasani wanafunzi wanapata fursa ya kutoa ujumbe fulani mbele ya darasa kama vile hadithi, vitendawili na hata nyimbo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRadio 5 yapongezwa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani.
Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza Radio 5, wakati wa burudani ya wachekeshaji wa majukwaani iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Golden Tulip. Burudani hiyo ambayo ilifana sana iliwajumuisha mchekeshaji kutoka Uganda, mwanadada Anne Kansiime, Fred Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia onyesho hilo, mmoja ya...
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
10 years ago
Michuzi22 Sep
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Mchango wa vibonzo katika uchaguzi Tanzania
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Kinjeketile na mchango wake katika Vita ya Majimaji
5 years ago
MichuziSerikali kuendelea kuenzi mchango wa radio katika kufanikisha maendeleo
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s72-c/proin.jpg)
Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-SkMPsdIvSUk/VhI_waS226I/AAAAAAAAiZM/AQ_XmvRQ7jk/s640/proin.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 May
Mchango wa Diplomasia katika kufikia Dira ya Taifa 2025 wajadiliwa
Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Wizara kufikia Dira ya Taifa 2025. Mkutano huu ni wa nne kufanyika tangu ule wa kwanza uolifanyika mwaka 1999 katika hoteli ya Whitesands, Dar es Salaam.
Kauli mbiu ya mkutano ni Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025. Ujumbe huo umechaguliwa kwa kuzingatia mchango wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
9 years ago
Mwananchi02 Sep
MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa