Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Radio 5 yapongezwa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani.

 Kituo cha Radio 5, kimepongezwa na wadau wa sanaa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani hapa nchini.
Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza Radio 5, wakati wa burudani ya wachekeshaji wa majukwaani iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Golden Tulip. Burudani hiyo ambayo ilifana sana iliwajumuisha mchekeshaji kutoka Uganda, mwanadada Anne Kansiime, Fred Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia onyesho hilo, mmoja ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Sanaa ya vichekesho Uganda

Sanaa ya vichekesho na uchekeshaji imekuwa ikipata umaarufu katika miaka ya hivi karibuni Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchango wa Sanaa katika Kiswahili

Katika shule za msingi, sekondari na pia vyuo vikuu lipo somo linalojulikana kama ‘sanaa za maonyesho’. Hili ni somo linalotilia mkazo mbinu mbalimbali za kuwasilisha ujumbe katika hadhira tofauti kwa kutumia lugha na vitendo. Darasani wanafunzi wanapata fursa ya kutoa ujumbe fulani mbele ya darasa kama vile hadithi, vitendawili na hata nyimbo.

 

9 years ago

Vijimambo

Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini

Unapozungumzia tasnia ya filamu nchini basi huwezi kuacha kuzungumzia makampuni ya kusambaza kazi za filamu Tanzania na Nje ya Tanzania. Kuna Makampuni mengi sana ambayo yanasambaza kazi za filamu ndani na Nje ya Tanzania lakini Katika Makampuni hayo huwezi kuacha Kuitaja Kampuni ijulikanayo kama PROIN PROMOTIONS LTD yenye makao yake Mikocheni na Mabibo.Proin Promotions Ltd ni kampuni ya kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania ndani na nje ya Tanzania ambapo Mwaka huu mwezi Agasti 30...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto

IMG_00511

Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI MCHANGO WAKE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHI MAREKANI


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano itakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...

 

10 years ago

Mwananchi

Ushindani umesaidia kukuza sanaa ya Hip hop

Kwa jina lake halisi ni Golden Mbunda, jina la kisanii lililompatia umaarufu ni Godzilla, hupenda kujinasibu kuwa masikani yake ni Salasala hapa jijini Dar es Salaam

 

5 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuenzi mchango wa radio katika kufanikisha maendeleo


 Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania (TADIO), Bw. Prosper Kwigize, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Bi. Dorothy Temu, Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirikila la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tirso Dos Santos, Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale visiwani Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo, Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mambo ya Habari Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Dk. Saleh Yussuf Mnemo,...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yapongezwa kwa kuviunganisha Vyombo vya Habari nchini katika michezo

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuviunganisha vyombo vya habari anuai nchini Tanzania kupitia tasnia ya michezo. 
Dk. Mukangala ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia kwa niaba ya waziri, alipokuwa akifunga rasmi Mashindani ya 11 ya NSSF yanayoshirikisha vyombo vya habari anuai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani