CRDB YAKABIDHI MCHANGO WAKE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHI MAREKANI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano itakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
CRDB yaipiga jeki ubalozi wa Tanzania Marekani kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Muungano
11 years ago
GPLCRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Blog ya Vijimambo yakabidhi mchango wake wa kusaidia kupambana na ujangili kwa Mhe. Lazaro Nyalandu
Baraka Daudi, Mwenyekiti wa Tamasha la Utalii na kukemea ujangili lililoadhimisha miaka 4 ya Blog ya Vijimambo akimkabidhi pesa tasilimu $1,000 kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu kwa ajili ya kupambana na ujangili makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatatu Sept 15, 2014.
Mhe. Lazaro Nyalandu, Balozi Leberata Mulamula Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Vijimambo...
10 years ago
VijimamboMAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Harrison Mwakyembe...
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Mawaziri wa nchi tano Afrika Mashariki wakutana ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani
Na Mwandishi Wetu
Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe....
10 years ago
GPLMAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziSerikali ya Comoro yakabidhi eneo kwa Ubalozi Tanzania nchini humo
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Wizara ya Mambo ya Nje ya Comoro ambapo Mhe. Waziri El-Anrif amemkabidhi Mhe. Chabaka F. Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro, funguo za majengo matatu yaliyopo katika eneo hilo....
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Ubalozi wa Marekani waeleza kusikitishwa kwa kukamatwa kwa wapinzani na kufungiwa gazeti Tanzania
11 years ago
MichuziSamsung Tanzania yakabidhi zawadi kwa washindi wake