Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya Comoro yakabidhi eneo kwa Ubalozi Tanzania nchini humo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro,Mhe. El-Anrif Said Hassane amekabidhi rasmi eneo lililototewa na Serikali ya Comoro kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni. 
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Wizara ya Mambo ya Nje ya Comoro ambapo Mhe. Waziri El-Anrif amemkabidhi Mhe. Chabaka F. Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro, funguo za majengo matatu yaliyopo katika eneo hilo....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI MCHANGO WAKE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHI MAREKANI


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano itakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya ya Bunge ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

Waheshimiwa Wabunge Kamati ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wakiwa na Balozi Dr. Aziz P. Mlima na Maafisa wa Ubalozi leo. Waheshimiwa wapo Malaysia kwa shughuli za kikazi na mafunzo, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa PAC ambaye pia ni Mbuneg wa Ludewa  Mhe Deo H. Filikunjombe

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WANAOISHI VISIWANI COMORO WAANDAA FUTARI YA PAMOJA KWA KUSHIRIKIANA NA UBALOZI

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wakiwa katika picha ya pamoja na Bw. Ali Mwadini (wa pili kutoka kushoto), Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania, Comoro ambaye alimwakilisha Mhe. Balozi Chabaka Kilumanga wakati wa  futari ya pamoja iliyoandaliwa na Watanzania hao kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Moroni. Jumuiya ya Watanzania waishio Comoro wakipata futari ya pamoja. 
Jamii ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wameandaa futari ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe kwa  balozi wa Comoro Mhe. Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es Salaam jana Januari 11, 2014.…
...

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa kundi la kigaidi waliouwa nchini humo ni Watanzania

Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi nchini humo (FDS) vimedhibiti mji wa Macomia, katika jimbo la Cabo Delgado Kaskazini mwa Msumbiji na kuwaua viongozi wawili wa makundi ya kigaidi.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE NCHINI CHINA AFAFANUA SABABU ZA KUBAGULIWA KWA BAADHI YA WAAFRIKA NCHINI HUMO


Mabalozi wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China China Mhe. CHEN Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi ya raia wa Mataifa ya Afrika katika Mji wa Guangzhou uliopo katika Jimbo la Guangdong.




Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

NAIBU Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya watu wa China Chen Xiaoding amekutana na mabalozi wa nchi za Afrika akiwemo balozi wa Tanzania nchini humo Mbelwa Kairuki na kufafanua taarifa na changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani