Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa kundi la kigaidi waliouwa nchini humo ni Watanzania

Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi nchini humo (FDS) vimedhibiti mji wa Macomia, katika jimbo la Cabo Delgado Kaskazini mwa Msumbiji na kuwaua viongozi wawili wa makundi ya kigaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini.

Na Eleuteri Mangi- Dodoma 28/11/2014. Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa tasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa ama kijijini, kitongojini na hata kwenye kata.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David Mwakyusa (CCM) ambaye alitaka kujua kama Serikali inatambua VICOBA ...

 

9 years ago

Michuzi

JK ZIARANI KENYA, AAGANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI HUMO

 Rais Kikwete akipokea zawadi yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya walipoandaa  shughuli hiyo mahususi ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya  Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi Jumapili usiku. Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi.... Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya Rais...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Comoro yakabidhi eneo kwa Ubalozi Tanzania nchini humo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro,Mhe. El-Anrif Said Hassane amekabidhi rasmi eneo lililototewa na Serikali ya Comoro kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni. 
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Wizara ya Mambo ya Nje ya Comoro ambapo Mhe. Waziri El-Anrif amemkabidhi Mhe. Chabaka F. Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro, funguo za majengo matatu yaliyopo katika eneo hilo....

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji wamkumbuka Brig. Jen. Hashim Mbita

Kitabu cha maombolezo ya Marehemu, Brig. Jen. Hashim Mbita kwenye Ubalozi wa Tanzania, Maputo Msumbiji.Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Msumbiji, Mhe. Joaquim Chissano akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Rais msataafu wa awamu ya tatu wa Msumbiji, Mhe. Armando Guebuza akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mh. Shamim Nyanduga...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri:Hamas si kundi la kigaidi

Mahakama nchini Misri imefuta hukumu ya awali ambayo ilikitaja chama cha Hamas cha Palestina kama kikundi cha kigaidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Muslim Brotherhood ni kundi la kigaidi

Serikali ya Misri yakipiga marufuku chama cha Muslim Brotherhood na kukitangaza kuwa kundi la kigaidi

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO


Awamu ya tatu ya Kundi la Watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, wameendelea kurudishwa nyumbani kutokana na mapigano yanayoendele nchini humo. Watanzania 40 ambao walikimbilia nchini Oman kutokea Yemen, wamefanikiwa kusafirishwa leo chini ya usimamizi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh.Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh akizungumza na Baadhi ya watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, ambao wako safarini hivi sasa kurudishwa nyumbani baada ya...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA TANGA KATIKA MAPAMBANO YA POLISI NA KUNDI LA KIGAIDI

Helkopta ya polisi pamoja na gari vikiwa eneo la mapango ya Amboni, Tanga wakati wa mapambano ya polisi na kundi linalodhaniwa kuwa la kigaidi. Eneo la mapango ya Amboni.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO

Awamu ya tatu ya Kundi la Watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, wameendelea kurudishwa nyumbani kutokana na mapigano yanayoendele nchini humo. Watanzania 40 ambao walikimbilia nchini Oman kutokea Yemen, wamefanikiwa kusafirishwa leo chini ya usimamizi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh.Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh akizungumza na Baadhi ya watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, ambao wako safarini hivi sasa kurudishwa nyumbani baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani