Serikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini.
Na Eleuteri Mangi- Dodoma 28/11/2014. Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa tasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa ama kijijini, kitongojini na hata kwenye kata.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David Mwakyusa (CCM) ambaye alitaka kujua kama Serikali inatambua VICOBA ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Siku ya Sheria iwe mkombozi kwa wanyonge
KESHO ni kilele cha Siku ya Sheria nchini, ni utaratibu wa kawaida wa kila mwaka uliojiwekea mhimili wa Mahakama. Kilele hicho ni ishara ya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama...
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa kundi la kigaidi waliouwa nchini humo ni Watanzania
11 years ago
MichuziSERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE HUTOLEWA BILA MALIPO
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuulizwa swali juu ya gharama kubwa za matibabu ya ugonjwa huo, kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
“Tunaomba wananchi wanapohiisi...
11 years ago
GPLBOL MKOMBOZI WA WATUMIAJI WA SIMU NCHINI HAPA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Juma Reli akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari za Fedha na Uchumi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jana mjini Bagamoyo, Mkoani Pwani, Kulia ni Mwenyekiti wa washiriki hao Bw. Thomas Chilala na Kushoto ni Meneja Uhusiano na Itifaki wa Benki Hiyo Bi Zalia Mbeo.
Frank Mvungi- Maelezo, Bagamoyo
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuimarisha mfumo wa utoaji taarifa za Uchumi na fedha kwa wananchi ili kuongeza wigo wa...
11 years ago
Mwananchi01 May
Wizara ya Ardhi ni kikwazo kwa maendeleo ya wanyonge nchini
9 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
KIMARO: VICOBA suluhisho la umaskini nchini
ALIYEKUWA mbunge wa Jimbo la Vunjo, Aloyce Kimaro, ametoa wito kwa wananchi kujiunga kwenye benki za kijamii vijijini (VICOBA) kama njia ya kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umaskini. Kimaro alitoa...
5 years ago
MichuziSIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA