Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE HUTOLEWA BILA MALIPO

Na Magreth Kinabo – MAELEZO 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Kauli  hiyo imetolewa na Mkuu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kuulizwa swali juu ya  gharama   kubwa za matibabu ya ugonjwa huo, kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
 “Tunaomba wananchi wanapohiisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC

Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati akizindua tawi dogo la Benki ya CRDB. Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB,Dk Charles Kimei akimuelekeza jambo Askofu Dk Martin Shao kabla ya uzinduzi wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi. Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini,Dk Martin...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini.

Na Eleuteri Mangi- Dodoma 28/11/2014. Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa tasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa ama kijijini, kitongojini na hata kwenye kata.
Hayo yamebainishwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David Mwakyusa (CCM) ambaye alitaka kujua kama Serikali inatambua VICOBA ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa wa dengue watibiwa bila kupimwa

 Madaktari wa hospitali za Serikali jijini Dar es Salaam, wameanza kuwatibu watu wenye dalili za homa ya dengue bila uthibitisho wa vipimo kutokana na uhaba wa vipimo vya homa hiyo tangu katikati ya wiki.

 

11 years ago

Habarileo

‘Mtoto anayebakwa atibiwe bila malipo’

SERIKALI imeelekeza mtoto anayeshambuliwa ama kubakwa na kupata madhara kutokana na ukatili wa aina yoyote, akifikishwa hospitalini apatiwe matibabu kwanza bila kudaiwa fedha yoyote. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alisema hayo jana Dar es Salaam .

 

5 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Msumbiji imesema viongozi wa kundi la kigaidi waliouwa nchini humo ni Watanzania

Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi nchini humo (FDS) vimedhibiti mji wa Macomia, katika jimbo la Cabo Delgado Kaskazini mwa Msumbiji na kuwaua viongozi wawili wa makundi ya kigaidi.

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI AKIRI KUUZA NYAGO BILA MALIPO

BAADA ya kumaliza kusoma Exclusive Interview ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ leo katika safu hii tunamleta kwenu msanii wa filamu na muziki, Flora Festo Mvungi.

HISTORIA KWA UFUPI
Staa huyu amezaliwa mwaka 1988 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya wanne waliozaliwa katika familia yao.Amesoma Shule ya Msingi Mpakani iliyopo Mabibo baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga kuanza upimaji Saratani ya matiti bila malipo

Serikali wilayani hapa, inatarajia kuendesha upimaji wa saratani ya matiti na kizazi bila malipo ili kuwawezesha wanawake kutambua afya zao mapema kabla ya maradhi hayo hayajajitokeza.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe ataka polisi kuungwa na mkongo bila malipo

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuviunganisha vituo vyote vya polisi na mkongo wa taifa bila malipo ili kurahisisha mawasiliano kwa Jeshi la Polisi.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani