FLORA MVUNGI AKIRI KUUZA NYAGO BILA MALIPO
![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVrNg0N9RdyYcwvnAm*IZVYxuEtVBaP5z0Cvg2y87NE-9VFV5IXgWPk1ohmI4fI0rx61*x0oZnywXzdTggTyLygs/flora.jpg?width=650)
BAADA ya kumaliza kusoma Exclusive Interview ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ leo katika safu hii tunamleta kwenu msanii wa filamu na muziki, Flora Festo Mvungi. HISTORIA KWA UFUPI Staa huyu amezaliwa mwaka 1988 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya wanne waliozaliwa katika familia yao.Amesoma Shule ya Msingi Mpakani iliyopo Mabibo baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61mtUTz9nD1KEnSjyJcN5-XP71nTWmkMQWKBqdImnp28FrxBbHG1U*YlvRqtMCB9ylOJUvJcMylsToEEssBdg52/flora.jpg)
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Flora Mvungi: Sijabahatisha
NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRMtm9nqBqoyq4aA2XmwJLobKW8OkK*0aaIagsc2I0geR5N5t8LY6--srYYixgV4ZQ8-GuSXRq8vF0rV*SCu4xoT/MAHARIYAFLORAMVUNGI1.jpg)
FLORA MVUNGI ADAIWA KUCHEPUKA!
10 years ago
Mtanzania19 May
Flora Mvungi: Umaarufu umenifikisha klabu
NA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo nchini, Flora Mvungi, ameweka wazi kwamba hasingefika kwenye kumbi za starehe kama asingekuwa maarufu.
Flora alisema kutokana na umaarufu wake alioupata kupitia sanaa ya uigizaji, alijikuta akilazimika kuzijua klabu za usiku tofauti na alivyokuwa akidhani kwamba angeweza kuwa maarufu bila kufika katika klabu hizo.
‘Nashukuru ustaa umenisaidia, kwani bila ya hivyo ningekuwa mama wa nyumbani ama kazi nyingine, lakini fani niliyoichagua imeniwezesha...
10 years ago
CloudsFM29 Sep
H BABA NA FLORA MVUNGI: WAPEANA TUZO
Msanii Hamis Baba ‘’H.Baba’’ na mkewe flora mvungi jumamosi iliyopita walipeana tuzo zilizojulikana kama Tuzo Za Familia tukio lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View Hotel.
Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali kama rais wa shirikisho la wasanii Tanzania, Simon Mwakifamba na watu wengine.
10 years ago
Bongo Movies22 Sep
Mambo kadhaa Usiyoyajua kuhusu Flora mvungi.
ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari.
NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana.
MPANGO
Flora wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kuhusiana na uigizaji? Salim Liundi, Dar,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSXrgQe*-cCKl7G-KzeACf6aEUd6qeWszaXIkBAydbreZz34n2fd8wMDVIr6pxpw8ctsAuvv4OBefeAPlyUORvoy/Mvungi.jpg)
FLORA MVUNGI ADAIWA KUTAPELI HELA ZA UPATU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/klmPPeYfCPg-wCpnv2ZYWcjzMGME2LbvZuP24B0qG8FJxE*JbaA7IN2onkz*6Ri6I1nScvX1U9B8MbSMaB3oJ0W0SilmL9dh/flora60.jpg)
FLORA MVUNGI AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DUDE
9 years ago
Bongo528 Sep
Flora Mvungi amzuia H.Baba kuichezea Toto African