Flora Mvungi amzuia H.Baba kuichezea Toto African
H.Baba amesema ameshindwa kuichezea klabu yake ya ligi kuu Tanzania bara ‘Toto African’ ya jijini Mwanza msimu huu kutokana na sababu za kifamilia. Muimbaji huyo ambaye alisema ataonekana akiichezea klabu hiyo katika msimu huu wa ligi, ameiambia Bongo5 kuwa, mke wake amemkataza kufanya hivyo. “Mke wangu Khadija (Flora) alikataa nisicheze mpira kwa sababu alisema nitakuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM29 Sep
H BABA NA FLORA MVUNGI: WAPEANA TUZO
Msanii Hamis Baba ‘’H.Baba’’ na mkewe flora mvungi jumamosi iliyopita walipeana tuzo zilizojulikana kama Tuzo Za Familia tukio lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View Hotel.
Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau mbalimbali kama rais wa shirikisho la wasanii Tanzania, Simon Mwakifamba na watu wengine.
11 years ago
GPLH-BABA, MKEWE FLORA MVUNGI NDANI YA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPL24 Mar
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA H BABA, FLORA MVUNGI
10 years ago
Bongo519 Jan
H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili
11 years ago
GPL
11 years ago
Bongo526 Sep
H.Baba na mke wake Flora Mvungi watapeana tuzo Jumamosi hii
11 years ago
Bongo527 Sep
Picha: H.Baba na mkewe Flora Mvungi wapeana tuzo, sherehe zafana
11 years ago
GPL
FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Flora Mvungi: Sijabahatisha
NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...