Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FLORA MVUNGI ADAIWA KUTAPELI HELA ZA UPATU

Hamida Hassan na Gladness Mallya
Mwanadada Flora Mvungi anayeendesha maisha yake kwa kuuza nyago kwenye filamu, hivi karibuni aligandwa na skendo ya kutapeli pesa za upatu za dada aliyefahamika kwa jina la Christina ambaye ilikuwa imefika zamu yake ya kupokea. Staa wa filamu Bongo, Flora Mvungi. Sosi wa habari hii alisema kuwa, Flora baada ya kupokea fedha hizo za upatu aliendelea na shughuli zake kama kawaida lakini ilipofika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI ADAIWA KUCHEPUKA!

Mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’  MREMBO kunako filamu Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ amewashangaa wanaomsema pembeni kuwa kawahi kuchepuka na kukanusha vikali kuwa hakuwahi kufanya hivyo tangu afunge ndoa na mumewe, Khamisi Ramadhani ’H-Baba.’ Akifunguka ya moyoni kwa paparazi wetu,Flora alisema tangu wakutane na H-Baba kipindi cha uchumba wao hajawahi...

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli

MFANYABIASHARA , Hassan Kombo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Karani Hatanao Kitogo alidai mbele ya Hakimu Christine Luguru, Machi 9 mwaka huu huko Zanzibar, Kombo alikabidhiwa mafuta ya chakula dumu 100 ayalete Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Katibu wa CCM adaiwa kutapeli

KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rorya, Rojar Akuku anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujipatia Sh milioni 11 kwa udanganyifu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Flora Mvungi: Sijabahatisha

NYOTA wa filamu za Kibongo ‘Bongo Movie’ aliyegeukia muziki wa Bongo Fleva, Flora Mvungi, amesema hajaingia katika tasnia ya muziki huo kwa kubahatisha, kwani alianza kuimba kabla watu hawajamfahamu kupitia...

 

11 years ago

GPL

MAFUFU ADAIWA KUTAPELI LAKI MOJA

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amekanyaga skendo ya utapeli baada ya msanii chipukizi aliyefahamika kwa jina la  Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. kumpatia kiasi cha shilingi laki moja ili amfanyie mpango wa kujiunga Bongo Movie lakini akaingia mitini. “Kujiunga na Bongo Movie ni shilingi laki moja ambayo nilimkabidhi na fomu ya kujiunga akanipa nikajaza, cha ajabu mpaka sasa...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE ADAIWA KUTAPELI LAKI MBILI

Stori: Emelder Tarimo MUIGIZAJI ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki, Zuena Mohammed ‘Shilole’ amegandwa na madai ya utapeli kufuatia jamaa mmoja aitwaye Samir kuibuka na kudai kuwa, walimpa shilingi laki mbili ili awakodishie madansa kwa ajili ya video yao lakini mpaka sasa anachenga. Muigizaji ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki, Zuena Mohammed ‘Shilole’ Samir alisema: “Shilole aliomba...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO ADAIWA KUTAPELI TENA!

Na Andrew Carlos MWANAMUZIKI mkali wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amedaiwa tena kuhusika katika utapeli wa shilingi milioni mbili. Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando. Muandaaji wa shoo hiyo, Ibrahim alidai kuwa Rose alitumiwa kiasi hicho cha pesa kama sehemu ya malipo ya kazi hiyo iliyokuwa ifanyike Jumapili iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Landmark uliopo Ubungo, jijini Dar lakini hakutokea. “Huu ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani