MAFUFU ADAIWA KUTAPELI LAKI MOJA
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGZQMXQaOfh8nrO-Uqkyud4JFbTBZNvVY5lz6Qx8cqWNPbV8BErbguQQDbsyUTeYicM6Recm0P4QIbdbJRtCYMVu/mafufu.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amekanyaga skendo ya utapeli baada ya msanii chipukizi aliyefahamika kwa jina la Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. kumpatia kiasi cha shilingi laki moja ili amfanyie mpango wa kujiunga Bongo Movie lakini akaingia mitini. “Kujiunga na Bongo Movie ni shilingi laki moja ambayo nilimkabidhi na fomu ya kujiunga akanipa nikajaza, cha ajabu mpaka sasa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO619snggPyYQQrvmM8b8hwZmcb2SltnvZDke72BUwws0T9ON9aXbMYD26NcV4Z4vWVx1IPFnsxBgUvZ*DQqIpXv/shilole.jpg)
SHILOLE ADAIWA KUTAPELI LAKI MBILI
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mfanyabiashara adaiwa kutapeli
MFANYABIASHARA , Hassan Kombo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Karani Hatanao Kitogo alidai mbele ya Hakimu Christine Luguru, Machi 9 mwaka huu huko Zanzibar, Kombo alikabidhiwa mafuta ya chakula dumu 100 ayalete Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-
JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo09 Jun
Katibu wa CCM adaiwa kutapeli
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rorya, Rojar Akuku anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujipatia Sh milioni 11 kwa udanganyifu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXalAWcbM7SQ3UaaUMtaJL0yg9bYy7TR6CCcjxUTWRbdW7rcXZ*Ts0yWavJLF14irUs8BFIoCdJ9s7xcHiHpz6hu/rose.jpg)
ROSE MUHANDO ADAIWA KUTAPELI TENA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSXrgQe*-cCKl7G-KzeACf6aEUd6qeWszaXIkBAydbreZz34n2fd8wMDVIr6pxpw8ctsAuvv4OBefeAPlyUORvoy/Mvungi.jpg)
FLORA MVUNGI ADAIWA KUTAPELI HELA ZA UPATU
11 years ago
Mwananchi28 Feb
‘Nikipata laki moja ya mtaji nimetoka’
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Boko Haram ladaiwa kuwaua watu laki moja
10 years ago
MichuziSAFARI ZA RAIS KIKWETE ZAOKOA ZAIDI YA DOLA LAKI MOJA ZA KIMAREKANI