Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFARI ZA RAIS KIKWETE ZAOKOA ZAIDI YA DOLA LAKI MOJA ZA KIMAREKANI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akizungumza na wandishi wa Habari (pichani hawapo)  baada ya hitimisho la  Mkutano wa nne wa mafunzo ya Upasuaji wa Ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu, Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif Rashid, uliomalizika hivi karibuni. ambapo wakishirikiana na Wataalamu  madaktari bingwa wa Chuo cha Weill Cornell toka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda… ...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) wenye thamani ya dola laki moja z

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe aliokuja nao mgeni wake.   Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) mara baada ya kutia saini mkataba wa...

 

11 years ago

GPL

MICROSOFT WAINUNUA MOJANG KWA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 2.5

KAMPUNI ya Microsoft imeinunua Mojang, kampuni ya Sweden inayomiliki michezo maarufu ya komputa ya Minecraft kwa dola za Kimarekani bilioni 2.5. Ununuzi huo umetangazwa na Mkurugenzi wa Xbox, Phil Spencer. Baadhi ya wachambuzi wamesema ununuzi huo umefanyika ili kuvutia watumiaji wengi kutumia simu za mfumo wa Microsoft wa Windows. Dili hilo limekamilika ikiwa ni mwaka mmoja tangu Microsoft kuinunua kampuni ya simu ya Nokia. ...

 

10 years ago

Vijimambo

MV Mapinduzi 2 kugharimu Dola za Kimarekani USD 30,825,000

Na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeamua kutengeneza Meli mpya ya Abiria MV Mapinduzi 11 pamoja na mizigo Nchini Korea ili kuwapatia usafiri wa uhakika wa Baharini kwa Wananchi wa Visiwa vya Unguja na Pemba.

Hayo yameeleza leo na Naibu wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi huko Baraza la Wawakilishi linaloendelea Chukwani Nje kidogo wa Mji wa Zanzibar wakati akijibu suala la Muwakilishi Salim Abdallah Hamadi wa Jimbo la Mtabwe aliyetaka kujua Meli...

 

11 years ago

Michuzi

dola za kimarekani milioni 7.2 zadakwa uwanja wa ndege wa panama, honduras

Watu watatu wanashikiliwa na polisi nchini Panama kwa tuhuma za kuhusika na begi lililokutwa na dola za Kimarekani 7.2 (pichani) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa TocumenJumapili hii, ambapo wapelelezi wanahisi mkwanja huo ulikuwa unahamishwa kutoka Honduras kwa moja ya makundi ya wauza 'sembe'  (madawa ya kulevya) ambalo hawakulitaja. Mkwanja huo zaidi ulikuwa wa noti za dola 100.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Polisi waahidi dola laki 3

Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki tatu za Marekani yeyote atakayetoa habari zitakazowasaidia kuwapata zaidi ya wasichana mia mbili waliotekwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhamiaji ashinda dola laki 4 Uhispania

Mhamiaji mmoja raia wa Senegal ambaye hana kazi ameshinda jumla ya dola 400,000 katika mchezo wa krismasi wa bahati nasibu nchini Uhispania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais masikini zaidi apewa dola milioni 1

Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani