dola za kimarekani milioni 7.2 zadakwa uwanja wa ndege wa panama, honduras
![](http://2.bp.blogspot.com/-WE9VpTxASDk/Uviz-01V94I/AAAAAAAFMHI/wgu3slGDJfY/s72-c/140115194836-panama-airport-money-story-top.jpg)
Watu watatu wanashikiliwa na polisi nchini Panama kwa tuhuma za kuhusika na begi lililokutwa na dola za Kimarekani 7.2 (pichani) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa TocumenJumapili hii, ambapo wapelelezi wanahisi mkwanja huo ulikuwa unahamishwa kutoka Honduras kwa moja ya makundi ya wauza 'sembe' (madawa ya kulevya) ambalo hawakulitaja. Mkwanja huo zaidi ulikuwa wa noti za dola 100.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wlt936NZfQU/VOg7v5vHJQI/AAAAAAAAA8w/9abWO6HDzWg/s72-c/untitled.png)
Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.
Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.
![](http://1.bp.blogspot.com/-wlt936NZfQU/VOg7v5vHJQI/AAAAAAAAA8w/9abWO6HDzWg/s1600/untitled.png)
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha Mradi wa Maji katika Wilaya ya Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro.. Dr. Likwelile alisaini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya uchumi ya Afrika. Aliye wakilisha Benki hiyo ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa...
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
9 years ago
Michuzinyara za serikali zenye thamani ya Tsh. Milioni 81 zadakwa pamoja na watuhumiwa 121
Na Lorietha Laurence - Maelezo.JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Ofisi za Shirikisho la Polisi Duniani (Interpol) kanda ya Kusini mwa Afrika, imefanikiwa kukamata nyara za serikali zenye thamani ya Tsh. Milioni 81 na watuhumiwa 121 wa makosa mbalimbali.Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi (Oktoba 1, 2015), Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, Kamishna Diwani Athuman (pichani), alisema kuwa lengo la operesheni hiyo ni...
10 years ago
Vijimambo11 Jun
MV Mapinduzi 2 kugharimu Dola za Kimarekani USD 30,825,000
![](http://www.zenjfmradio.com/wp-content/uploads/2014/12/Untitled.png)
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeamua kutengeneza Meli mpya ya Abiria MV Mapinduzi 11 pamoja na mizigo Nchini Korea ili kuwapatia usafiri wa uhakika wa Baharini kwa Wananchi wa Visiwa vya Unguja na Pemba.
Hayo yameeleza leo na Naibu wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi huko Baraza la Wawakilishi linaloendelea Chukwani Nje kidogo wa Mji wa Zanzibar wakati akijibu suala la Muwakilishi Salim Abdallah Hamadi wa Jimbo la Mtabwe aliyetaka kujua Meli...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouupuhPa71tuVNya887bPXjYxXLzAiqzkpwaOLV0BPzoEH044PpxHYbOBulsAwSX0TijGKlgIsZFpQxYKTmkmEhi9/1d.jpg?width=650)
MICROSOFT WAINUNUA MOJANG KWA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 2.5
KAMPUNI ya Microsoft imeinunua Mojang, kampuni ya Sweden inayomiliki michezo maarufu ya komputa ya Minecraft kwa dola za Kimarekani bilioni 2.5. Ununuzi huo umetangazwa na Mkurugenzi wa Xbox, Phil Spencer.
Baadhi ya wachambuzi wamesema ununuzi huo umefanyika ili kuvutia watumiaji wengi kutumia simu za mfumo wa Microsoft wa Windows. Dili hilo limekamilika ikiwa ni mwaka mmoja tangu Microsoft kuinunua kampuni ya simu ya Nokia. ...
10 years ago
MichuziSAFARI ZA RAIS KIKWETE ZAOKOA ZAIDI YA DOLA LAKI MOJA ZA KIMAREKANI
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-lx00DdH3xxw/VKp1P89lIzI/AAAAAAAG7YQ/p56fEYTa1lU/s1600/CSC_0375.jpg)
TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI
 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Michael Mwande akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzungumzia mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam ambapo ujenzi huo umefikia asilimia 94.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania