Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagonjwa wa dengue watibiwa bila kupimwa

 Madaktari wa hospitali za Serikali jijini Dar es Salaam, wameanza kuwatibu watu wenye dalili za homa ya dengue bila uthibitisho wa vipimo kutokana na uhaba wa vipimo vya homa hiyo tangu katikati ya wiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa wa dengue wafikia 376

Homa ya dengue inaendelea kushika kasi nchini baada ya takwimu za Januari hadi juzi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, kuonyesha kuwa watu 376

 

10 years ago

Vijimambo

UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?

Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera.
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE HUTOLEWA BILA MALIPO

Na Magreth Kinabo – MAELEZO 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Kauli  hiyo imetolewa na Mkuu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kuulizwa swali juu ya  gharama   kubwa za matibabu ya ugonjwa huo, kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
 “Tunaomba wananchi wanapohiisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walazwa bila mashuka Tumbi

Baadhi ya wagonjwa waliolazwa na kupatiwa huduma mbalimbali katika Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, Tumbi wamesema wapo katika hatari ya kupata magonjwa ya kuambukiza hasa ya ngozi kutokana na vitanda wanavyolalia kutokua na mashuka na vichache kutumika bila kubadilishwa mashuka.

 

5 years ago

Michuzi

WAGONJWA WENYE MATATIZO YA MOYO WASHAURIWA KUHUDHURIA KLINIKI BILA KUKOSA








Wataalamu wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba cha Uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimlaza mgonjwa kabla ya kuzibuliwa mshipa mkubwa wa damu ya moyo ambao haukuwa unapitisha damu vizuri. Upasuaji huo wa bila kufungua kifua unafanyika kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization Laboratory) ambapo mgonjwa anatobolewa tundu dogo katika mshipa wa damu ulioko kwenye paja.



Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

20 watibiwa fistula Moro

HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa ugonjwa wa fistula, wameanza kutoa matibabu ya ugonjwa huo ambako tayari wagonjwa 20 wamelazwa kwa ajili ya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wanafunzi 270 kupimwa afya

ZAIDI ya wanafunzi 270 wa Shule ya Msingi Viziwi Buguruni, jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kupima afya zao na kupatiwa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili jana, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kuhudumia Viziwi Tanzania (TSD), Yasin Mawe, alisema wanafunzi hao watapimwa damu, mkojo, uzito na urefu.

"Tumeamua kuwapima afya ili kupata kumbukumbu sahihi na kufahamu maradhi yanayowasumbua ili kuwapatia dawa," alisema.

Alisema TSD kwa kushirikiana na wahisani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani