Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?

Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera.
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA WA FEDHA KUANZA KUSAJILIWA MWEZI HUU,WAMO MAWAKALA WA PESA KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI





Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa, Kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Bw.Bernard Dadi akizungumza kwenye Semina ya Waandishi wa Habari za Uchumi na Fedha inayoendelea jijini Arusha, kuhusu Kanzidata ya kudumu ya watoa huduma wa kifedha,na ufafanuzi zaidi kuhusukusajiliwa kwa Watoa huduma wa Fedha nchini.

Dadi amesema kuwa usajili huo utakuwa ni wa lazima kwa yoyote atakaye husika na utoaji wa huduma wa Fedha,na kwamba usajili huo unatarajiwa kuanza rasmi Mwezi Machi-Aprili 2020 kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Ikulu kutamu kwa Nkurunziza, Kagame, Kabila bila kujua mwisho wa kivuli chao

Kuna sura inayokinzana katika eneo la Afrika Mashariki na lile la Kati. Kuna wakati wanasiasa wanabisha kwenye eneo hilo. Pia, bado kuna mwangwi unaosukuma juu ya kile kinachoitwa ‘mabadiliko ya nyakati’.

 

11 years ago

Mwananchi

Wagonjwa wa dengue watibiwa bila kupimwa

 Madaktari wa hospitali za Serikali jijini Dar es Salaam, wameanza kuwatibu watu wenye dalili za homa ya dengue bila uthibitisho wa vipimo kutokana na uhaba wa vipimo vya homa hiyo tangu katikati ya wiki.

 

10 years ago

CloudsFM

Hivi unawezaje kukosa nafasi adimu kama hii ya kukaa na kupiga picha na T.I.?????

Hey Ladies hivi unawezaje kukosa nafasi adimu kama hii ya kukaa na kupiga picha na T.I.????? - Post picha yako kwenye page ya Facebook ya Fiesta ( https://www.facebook.com/pages/Fiesta/339879459495368) kisha hakikisha inapata likes nyingi kuliko nyingine zote - then utapata nafasi ya kuwa mmoja wa washindi watano wa tiketi za Fiesta After Party.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa timu ya taifa Honduras auawa kwa risasi

Mchezaji wa timu ya taifa Honduras Arnold Peralta amepigwa risasi akiwa likizoni mji wake wa kuzaliwa wa La Ceiba.

 

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

9 years ago

Bongo5

Vitu unavyotakiwa kujua kabla ya kuanzisha biashara yako

Watu wengi wanatamani wawe wajasiriamali au wawe wafanyabiashara na wakati mwingine wameweza kukurupuka na kuingia kwenye biashara kichwa kichwa na wanakimbia. Kuna vitu ambavyo viko wazi na vinahitajika kujulikana kwa kila anayetamani kufanya biashara, inawezekana hakuna mtu anayekuambia kuhusu hivyo vitu ila leo unatakiwa mtu kuvijua kwa undani wake na umuhimu wake. Nimejaribu kufuatilia vibanda […]

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WA YANGA KUSAKWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA KUJIESCROW NA MA PESA YA TIMU HIYO


Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu.
Na Lucy MginaJESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limekuwa likiendelea kumsaka aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu.Habari za kipolisi kutoka ndani ya Jeshi hilo zimeeleza kwamba juhudi za kumtia nguvuni Njovu anayetuhumiwa na ubadhilifu zimekuwa zikiendelea kwa juhudi kubwa.“Unajua askari wetu walikwenda kumshika Njovu wakiongozana na mwanasheria wa Yanga, lakini akashitukia mtego na kutimua mbio. Sasa juhudi zinafanyika ili kumshika kwa kuwa tuna RB...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ashinda Scrabble bila kujua lugha

Raia wa New Zealand asiyezungumza kifaransa hata neno moja ameshinda mashindano ya dunia ya mchezo wa scrabble, kwa lugha hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani