Hivi unawezaje kukosa nafasi adimu kama hii ya kukaa na kupiga picha na T.I.?????
Hey Ladies hivi unawezaje kukosa nafasi adimu kama hii ya kukaa na kupiga picha na T.I.????? - Post picha yako kwenye page ya Facebook ya Fiesta ( https://www.facebook.com/pages/Fiesta/339879459495368) kisha hakikisha inapata likes nyingi kuliko nyingine zote - then utapata nafasi ya kuwa mmoja wa washindi watano wa tiketi za Fiesta After Party.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
9 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/16/20/2D69540600000578-3276444-image-m-18_1445024476540.jpg)
Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/14/16/2D611DED00000578-0-Cute_The_Project_Runway_star_was_also_checking_out_her_art_deale-a-8_1444834902461.jpg)
10 years ago
Bongo501 Nov
Kanye asimamisha taxi kupiga picha na paparazzi aliyevaa t-shirt iliyomvutia, t-shirt zanunuliwa kama njugu
10 years ago
Bongo529 Sep
Jaffarai ajinunulia gari hii kama zawadi ya birthday (Picha)
10 years ago
Vijimambo04 Oct
UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?
![](http://api.ning.com/files/zLSzH-96bg-u5273lvDsNZSzcae-D0mzyTu5mRa6b1LS3LOcdWrk27IrZlHbpW6-JnnWm*g2W4wYkSnEUQHj9cgBn9sTmNOL/KIONGERA1.jpg?width=650)
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
Mwananchi25 Jun
BVR isiwe sababu ya kukosa haki ya kupiga kura