Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA ZANZIBAR WAGONJWA WEGINE WAPYA 23 WAONGEZEKA NA KUFIKIA IDADI YA WAGONJWA 58


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

Michuzi

WAGONJWA WAPYA WA CORONA 196 WAONGEZEKA NCHINI


Na WAJMW-Dodoma

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa Corona 196 nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa Corona nchini kufikia 480.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo wakati akigawa magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa majimbo mbalimbali tukio lililofanyika leo katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa yaongezeka hadi kufikia 700 Kenya

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 700 baada ya wagonjwa wapya 28 kuthibitishwa katika kipindi cha saa 24.

 

5 years ago

Michuzi

Wagonjwa wapya 53 wa corona waongezeka, Amana Sasa kupokea wenye dalili badala ya Muhimbili

SERIKALI imetangaza watu wapya 53 ambao wameambukizwa VIRUSI vya Corona nchini na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 147 tangu kutajwa kwa mgonjwa wa kwanza tarehe 16/03/2020, huku Hospitali ya Rufaa ya Amana ikiagizwa rasmi kupokea wagonjwa wenye dalili ya ugonjwa wa Corona badala ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu  wakati akipokea misaada kutoka katika kampuni mbalimbali kwa ajili...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya waliothibitishwa kuwa na corona Kenya yafikia 2,862 , wagonjwa wapya 95 wakiripotiwa kuambukizwa

Idadi ya wagonjwa wapya Kenya ni 95 huku watu 98,439 wakipimwa corona kufikia leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani