Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WANAOISHI VISIWANI COMORO WAANDAA FUTARI YA PAMOJA KWA KUSHIRIKIANA NA UBALOZI

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wakiwa katika picha ya pamoja na Bw. Ali Mwadini (wa pili kutoka kushoto), Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania, Comoro ambaye alimwakilisha Mhe. Balozi Chabaka Kilumanga wakati wa  futari ya pamoja iliyoandaliwa na Watanzania hao kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Moroni. Jumuiya ya Watanzania waishio Comoro wakipata futari ya pamoja. 
Jamii ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wameandaa futari ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro waanzisha rasmi Jumuiya yao

Jana tarehe 10 Agosti 2014, Watanzania wanaoishi katika Muungano wa Visiwa vya Comoro waliamzisha rasmi Jumuiya yao. Lengo la kuanzishwa kwa Jumuiya hiyo ni kuwaunganisha wanachama wake, kuwawezesha kushirikiana katika kutambua fursa za maendeleo na kutoa mchango kwa taifa lao la Tanzania. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikuta wa Ubalozi wa Tanzania, Moroni. Wakati akifungua mkutano huo, Mhe. Chabaka Kilumanga, Balozi wa Tanzania nchini Comoro aliwaeleza Watanzania hao kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

WAISLAM WAJUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KATIKA FUTARI YA PAMOJA STOCKHOLM, SWEDEN

 Shekhe akitowa mawaidha katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu jijini Stockholm, Sweden, leo  Sehemu ya waumini wakiwa katika hafla hiyo jijini Stockholm Mgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu (wa pili kulia) akiwa na sehemu ya waumini waliohudhuriaMgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu, akitoa salamu na shukurani kwa Jumuiya ya Waislamu nchini humo kuandaa futari y...

 

11 years ago

Michuzi

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro afanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro

Mshauri wa Masuala ya Ulinzi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro mwenye makazi yake Mjini Maputo, Msumbiji, Kanali Mahamud Lwimbo, alifanya ziara ya kikazi katika visiwa vya Comoro ambapo alikutana na Viongozi Wandamizi wa Visiwa hivyo wakiwemo Mhe. Ahmada Mmadi Bolero, Waziri anayehusika na Masuala ya Ulinzi na Kanali Youssouf Idjihadi Mkuu wa Jeshi la Comoro. Alipokutana na Viongozi hawa wa Comoro, Kanali Lwimbo alipata fursa ya kuzungumzia kwa kina umuhimu na...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Comoro yakabidhi eneo kwa Ubalozi Tanzania nchini humo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro,Mhe. El-Anrif Said Hassane amekabidhi rasmi eneo lililototewa na Serikali ya Comoro kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni. 
Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Wizara ya Mambo ya Nje ya Comoro ambapo Mhe. Waziri El-Anrif amemkabidhi Mhe. Chabaka F. Kilumanga, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro, funguo za majengo matatu yaliyopo katika eneo hilo....

 

10 years ago

Michuzi

WAMA KWA KUSHIRIKIANA NA UNICEF WAANDAA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SEKONDARI WAMA-NAKAYAMA

Mkuu wa Kitengo cha Uragibishi na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani akiwakaribisha walimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama iliyoko katika Kijiji cha Nyamisati huko Wilayani Rufiji yaliyofanyika shuleni hapo tarehe 15.9,2014. Baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Huduma ya Tigopesa na WorldRemit wamerahisisha uhamishaji wa fedha kimataifa kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi

tigopesa

Huduma ya kifedha kwa kutumia njia ya simu ya mkononi ya Tigo ijulikayo kama Tigo Pesa inashirikiana na kampuni ya Worldremit ya Uingereza inayofanya huduma za kuhamisha fedha kwa njia ya mtandao ili kuwawezesha watanzania waishio nje ya nchi kutuma fedha moja kwa moja kuja kwa ndugu, jamaa na marafiki waishio Tanzania kwa kupitia simu zao za smartphone, tablets na tarakilishi.

Akitangaza wakati wa uzinduzi huo leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa huduma ya kifedha wa simu za mkononi za Tigo...

 

10 years ago

GPL

GEPF KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO

Wawakilishi kutoka katika Mfuko wa GEPF pamoja na kampuni za PSM Archtect, M/S Interconsult Ltd na Matawana Consulting Group wakijadiliana kabla ya kutiliana saini kwa mkataba wa makubaliano katika Ujenzi wa 'Shopping mallas' katika mikoa ya Morogoro na Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Daud Msangi (alieketi kulia) pamoja na Meneja wa Mradi kutoka PSM… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani