FUTARI YA PAMOJA JUMAMOSI WASHINGTON DC
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC
Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:-Jumamosi, June 20th, 2015 – Glenmont Park Activity Building
Address: 3201 Randolph Road, Wheaton, MD 20906Jumapili, June 21st, 2015 – July 12, 2015 (Siku Zote Zilizobaki):
Indian Springs-Terrace Park Activity...
10 years ago
VijimamboRATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC- TAMCO
Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha
kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.
Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:-
Jumamosi, June 20th, 2015 – Glenmont Park Activity Building
Address: 3201 Randolph Road, Wheaton, MD 20906
Jumapili, June 21st, 2015 – July 12, 2015 (Siku Zote Zilizobaki):
Indian Springs-Terrace Park Activity Building
Address: 9717 Lawndale...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboUKAWA WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...
10 years ago
MichuziWAISLAM WAJUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KATIKA FUTARI YA PAMOJA STOCKHOLM, SWEDEN
Shekhe akitowa mawaidha katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu jijini Stockholm, Sweden, leo Sehemu ya waumini wakiwa katika hafla hiyo jijini Stockholm Mgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu (wa pili kulia) akiwa na sehemu ya waumini waliohudhuriaMgeni rasmi katika hafla ya futari hiyo, Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe Dorah Msechu, akitoa salamu na shukurani kwa Jumuiya ya Waislamu nchini humo kuandaa futari y...
11 years ago
Michuzi28 Jul
WATANZANIA WANAOISHI VISIWANI COMORO WAANDAA FUTARI YA PAMOJA KWA KUSHIRIKIANA NA UBALOZI
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wakiwa katika picha ya pamoja na Bw. Ali Mwadini (wa pili kutoka kushoto), Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania, Comoro ambaye alimwakilisha Mhe. Balozi Chabaka Kilumanga wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na Watanzania hao kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Moroni. Jumuiya ya Watanzania waishio Comoro wakipata futari ya pamoja.
Jamii ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wameandaa futari ya...
Jamii ya Watanzania wanaoishi Visiwani Comoro wameandaa futari ya...
10 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Iddi awaadalia Futari ya pamoja Watoto Yatima, Mjini Dodoma
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa kiumewa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma hapo kwenye makazi yake Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.Kulia ya Balozi Seif Ali Iddi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi.Balozi Seif Ali Iddi akitoa sadaka kwa Watoto Yatima wa Kike wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Rahman kiliopo Chang’ombe Mjini Dodoma baada ya kufutari nao pamoja.Baadhi ya Watoto Yatima wa Kituo cha...
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF NA AMANI KARUME WASHIRIKI KWENYE FUTARI YA PAMOJA MASJID IMANI UNGUJA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waislamu mbali mbali wakati akiwasili “Masjid Imani” iliyoko Mbweni kwa ajili ya kufutari. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, wakisalimiana na waislamu mbali mbali katika “Masjid Imani” iliyoko Mbweni walipofika kwa ajili ya kufutari. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, akipokea zawadi ya misahafu kutoka kwa...
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
Baada ya kisomo cha kumuombea marehemu baba wa Fatma Khalfan, ikiendelea ikiongozwa na ustadh Mohammed Saleh, baadae sala ya magharib ikifuatiwa na kama desturi waumini kupata futari
Keki ya Father's Day ilioandaliwa na akina mama kuwapongea baba wa watoto wao katika futari ya pamoja iliofanyika katika mji wa Silver Spring Maryland, USA
Dada Asha Haridh akiwahudukia watoto kukata keki ya Father's Day, ikiwa ishara ya kuwapongeza akina baba
meya wa jiji la greenbelt Sheikh Seif akiwa na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania