Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Blog ya Vijimambo yakabidhi mchango wake wa kusaidia kupambana na ujangili kwa Mhe. Lazaro Nyalandu

1617269_10152390941682479_8016298768874161170_o

Baraka Daudi, Mwenyekiti wa Tamasha la Utalii na kukemea ujangili lililoadhimisha miaka 4 ya Blog ya Vijimambo akimkabidhi pesa tasilimu $1,000 kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu kwa ajili ya kupambana na ujangili makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatatu Sept 15, 2014.

Mhe. Lazaro Nyalandu, Balozi Leberata Mulamula Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Vijimambo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MHE. LAZARO NYALANDU MGENI RASMI MIAKA 4 YA VIJIMAMBO PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN USA

Vijimambo kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani na kukemea ujangili wa mali asili wa nchi yetu siku ya September 13, 2014 itakayofanyika THE OXFORD EVENT CENTER 9700 Martin Luther King Jr HWY, Lanham, MD 20706. kutakua na burudani za kila aina kutoka nyumbani na hapa Marekani TEGA SIKIO MAMBO MENGI MAZURI YANAKUJA...

 

11 years ago

GPL

MHE. LAZARO NYALANDU MGENI RASMI MIAKA 4 YA VIJIMAMBO PROMOTING TANZANIA TOURISM EXPO IN USA‏

Vijimambo kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Jumuiya ya Watanzania DMV wanapenda kukukaribisha kwenye sherehe ya miaka 4 ya Blog ya Vijimambo kwa kutangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani na kukemea ujangili wa mali asili wa nchi yetu siku ya September 13, 2014 itakayofanyika THE OXFORD EVENT CENTER 9700 Martin Luther King Jr HWY, Lanham, MD 20706. Kutakua na burudani za kila aina kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII KASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL NA AJ UBAO KUNOGESHA TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA VIJIMAMBO MGENI RASMI MHE. LAZARO NYALANDU

Vijimambo Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.
Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014Msanii...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU AONGOZA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA UJANGILI WA TEMBO.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akipokewa na Bi. Raabia Hawa, Mratibu wa matembezi ya kupiga vita ujangili wa tembo yaliyoanzia Hifadhi ya Taifa Arusha na yanatarajiwa kumalizikia Nairobi, Kenya tarehe 28 mwezi huu. Mwendo ulipokolea na makoto yalivuliwa ili kuwa na wepesi zaidi. Watembeaji wakipumzika kidogo kabla ya kuendelea na matembezi. Bi. Raabia Hawa akifuta machozi baada ya kuguswa na hotuba ya Waziri Nyalandu kuhusu askari...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MHE LAZARO NYALANDU

Waziri NyalanduSIKU ya Mkesha wa Mwaka Mpya, Desemba 31, 2014, nilikaribishwa kushiriki ibada ya Mkesha na Baba Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ephata, Josephat Mwingira, iliyofanyika Kibaha mkoani Pwani. Mkesha huo ulitangazwa moja kwa moja kwenye kituo cha luninga cha Star TV na kuhudhuriwa na maelfu ya watu. Katika Mkesha huo, nilipewa fursa ya kuwasalimia waumini na kushirikiana nao katika neno la Mungu, ambapo huku nilieleza matumaini yangu kwa Taifa letu na ushiriki wa vijana katika...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI MCHANGO WAKE KWA UBALOZI WA TANZANIA NCHI MAREKANI


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano itakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. LAZARO NYALANDO, CASSIM MGANGA WAWASILI KUHUDHURIA TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA VIJIMAMBO

Mhe. Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii akipokewa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Suleiman Saleh mara tu alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya kuhudhulia tamasha la Utalii na miaka 4 ya Blog ya Vijimambo litakalo fanyika Jumamosi Sept 13, 2014. Kushoto ni msaidizi wa Waziri Bwn. Iman Nkuwi. Msanii wa kizazi kipya Cassim Mganga akipiga picha na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu walipokutana kwenye jengo la Ubalozi wa Jamhuri...

 

10 years ago

GPL

MHE. LAZARO NYALANDO, CASSIM MGANGA WAWASILI KUHUDHURIA TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA VIJIMAMBO‏

Mhe. Lazaro Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii akipokewa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Suleiman Saleh mara tu alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya kuhudhulia tamasha la Utalii na miaka 4 ya Blog ya Vijimambo litakalo fanyika Jumamosi Sept 13, 2014. Kushoto ni msaidizi wa Waziri Bwn. Iman Nkuwi.
  Msanii wa kizazi kipya… ...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mara tu alipowasili Ubalozini hapo kukutana na Taasisi mbalimbali za Kimarekani zinazo Tangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani kwenye Working Lunch iliyokua na maswali na majibu iliyochukua takribani saa 2 na nusu. Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka.Afisa Utalii Ubalozi wa Tanzania nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani