Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuendelea kuenzi mchango wa radio katika kufanikisha maendeleo


 Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania (TADIO), Bw. Prosper Kwigize, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Bi. Dorothy Temu, Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirikila la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tirso Dos Santos, Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale visiwani Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo, Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mambo ya Habari Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Dk. Saleh Yussuf Mnemo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NABII JOSHUA AIPONGEZA SERIKALI KWA KUFANIKISHA MIRADI MINGI YA MAENDELEO



 Muonekano wa Soko Kuu la Morogoro ambalo limejengwa kisasa. (Picha na Sauti ya Uponyaji)Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala (kushoto) akimpongeza Mhandisi wa Manispaa ya Morogoro,Juma Ngwisu kwa kazi nzuri ya usimamizi wa Soko Kuu la Morogoro na miradi mingine. (Picha na Sauti ya Uponyaji).

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

11 years ago

Michuzi

WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMU

WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMUSista Anna Enzi za uhai wake.
Msiba wa sista Anna Peterson umeibua simanzi si kwa familia yake tu bali kwa wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe alipokuwa akifanya kazi za kijamii tangu ujana wake. 
Hayo yamebainika wakati wa ibaada maalum ya kumkumbuka iliyofanyika hii leo katika kanisa la KKKT usharika wa Amani Bulongwa, ibaada iliyoongozwa na baba askofu wa dayosisi ya kusini...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA YAITUNUKU HUAWEI TUZO YA UONGOZI BORA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO

Mkuu wa masuala ya ufumbuzi na ushauri wa Huawei Afrika mashariki na kusini Dr. Bello Moussa, akizungumza wakati wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa ulipewa jina la Connect to Connect (C2C) ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano na teknolojia kujadili changamoto za mawasiliano pamoja na ukuaji wa broadband katika nchi za Afrika. Mkutano ulifanyika katika hoteli ya kimataifa ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam. Meneja Uhusiano Huawei Tanzania Bw. Jimmy Nlinguo akipokea tuzo ya uongozi...

 

5 years ago

Michuzi

Muhimbili kuendelea kutambua mchango wa Wauguzi

Baadhi ya wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakila kiapo cha maadili ikiwa ni kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12 kila mwaka.
Mkurugenzi wa Huduma za Uuuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12 kila mwaka.
Muuguzi Sophia Sanga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kushirikiana na Vijana katika kutatua changamoto zao

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na Vijana wa Tanzania walioshiriki mkutano wa tatu wa Vijana kutoka nchi za Bonde la Mto Nile (hawapo pichani) uliofanyika nchini Misri kuanzia tarehe 6 – 14 Novemba 2015 ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu kutoka nchi washiriki. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel...

 

11 years ago

Michuzi

Radio 5 yapongezwa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani.

 Kituo cha Radio 5, kimepongezwa na wadau wa sanaa kwa mchango wake wa kukuza sanaa za vichekesho vya majukwaani hapa nchini.
Wadau hao wa sanaa za vichekesho vya majukwaani waliipongeza Radio 5, wakati wa burudani ya wachekeshaji wa majukwaani iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Golden Tulip. Burudani hiyo ambayo ilifana sana iliwajumuisha mchekeshaji kutoka Uganda, mwanadada Anne Kansiime, Fred Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania.
Akizungumzia onyesho hilo, mmoja ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ijenge msukumo wa kuenzi Kiswahili

Katika makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani