SERIKALI YA TANZANIA YAITUNUKU HUAWEI TUZO YA UONGOZI BORA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO
Mkuu wa masuala ya ufumbuzi na ushauri wa Huawei Afrika mashariki na kusini Dr. Bello Moussa, akizungumza wakati wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa ulipewa jina la Connect to Connect (C2C) ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano na teknolojia kujadili changamoto za mawasiliano pamoja na ukuaji wa broadband katika nchi za Afrika. Mkutano ulifanyika katika hoteli ya kimataifa ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano Huawei Tanzania Bw. Jimmy Nlinguo akipokea tuzo ya uongozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar. Bw. Mahamoud Thabit Kombo.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Huawei Tanzania...
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei.
Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC) kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4o7lITGiN3c/U7aI9N7CHuI/AAAAAAACkws/fZdyGf2_8KY/s72-c/IMG_1685.jpg)
TTCL YAFURAHIA KUIBUKA NA TUZO YA USHINDI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-4o7lITGiN3c/U7aI9N7CHuI/AAAAAAACkws/fZdyGf2_8KY/s1600/IMG_1685.jpg)
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Peter Ngota akionesha tuzo ya ushindi katika sekta ya mawasiliano.
![Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0172.jpg)
![Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0135.jpg)
![Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0183.jpg)
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Nanai: Sekta binafsi ina mchango mkubwa
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Miaka 10 ya ustawi, serikali yapiga hatua katika sekta ya Tehema na Sayansi na Teknolojia
1.Katika Miaka 10 ya ustawi, serikali imekuwa katika jitihada za kuendeleza utekelezaji wa mipango na mikakati mbalimbali kwa lengo la kuinua Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ili kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
2. Katika Miaka 10 ya ustawi, tumeimarisha Utendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kupitia upya Sheria ya Tume ili kuipa COSTECH mamlaka ya kiudhibiti pamoja na kutambua mchango wa ubunifu.https://youtu.be/ZaXEKpIn-cI
3. Katika Miaka 10 ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m-QchTGB7H4/VJOor0uaikI/AAAAAAACwok/eQWqo7VKYec/s72-c/BBLA%2BPIX%2B1.jpg)
Tuzo za Bodi Bora Katika Sekta ya Kibenki na Bima kufanyika mwezi ujao
![](http://4.bp.blogspot.com/-m-QchTGB7H4/VJOor0uaikI/AAAAAAACwok/eQWqo7VKYec/s1600/BBLA%2BPIX%2B1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gTluFN2a4mg/XlLcbpRwB2I/AAAAAAALe8Y/-raTNItJdVU6J1qBiEv-MndVydSZuSxhgCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0667AA-1024x656.jpg)
MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.
Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.
Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...