Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL YAFURAHIA KUIBUKA NA TUZO YA USHINDI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO


 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Peter Ngota akionesha tuzo ya ushindi katika sekta ya mawasiliano.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA YAITUNUKU HUAWEI TUZO YA UONGOZI BORA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO

Mkuu wa masuala ya ufumbuzi na ushauri wa Huawei Afrika mashariki na kusini Dr. Bello Moussa, akizungumza wakati wa mkutano wa siku mbili wa kimataifa ulipewa jina la Connect to Connect (C2C) ulioandaliwa na Wizara ya Mawasiliano na teknolojia kujadili changamoto za mawasiliano pamoja na ukuaji wa broadband katika nchi za Afrika. Mkutano ulifanyika katika hoteli ya kimataifa ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam. Meneja Uhusiano Huawei Tanzania Bw. Jimmy Nlinguo akipokea tuzo ya uongozi...

 

10 years ago

GPL

TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya TTCL (kulia) akitoa maelezo kwa mteja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam. Eneo la...

 

9 years ago

Michuzi

Mapokezi ya Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano upande wa sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora wa pili kulia akipokea nyaraka wakati wa makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Dkt Yamungu Kayandabila wa kwanza kutoka kulia.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Mary Sassabo kulia wakati akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Faustine Kamuzora (...

 

10 years ago

Michuzi

TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO KATIKA KATA YA KIEGEI WILAYANI NACHINGWEA

Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imezindua mnara wa mawasiliano katika kata ya Kiegei, wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi hivi karibuni.

Akiongea na wananchi Kiegei, Mkuu wa Biashara  (TTCL) kanda ya Zanzibar Bw. Hussein Nguvu amesema; kwa kutambua umuhimu wa mawasiliano, TTCL pekee ndiyo ipo katika kijiji cha KIEGEI na ipo mstari wa mbele katika kuchangia kufanikisha malengo ya Serikali katika Sekta hii mtambuka kwa maendeleo ya haraka kwa Taifa letu.

Amesema Serikali ina imani kubwa na...

 

5 years ago

Michuzi

Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi

Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini. 
 
Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia.Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu Mkuu wa WCO amesema mbali na faida nyingi, uwekezaji katika teknolojia ya kidijitali ni mojawapo ya njia bora ya kukusanya kodi na mapato ya serikali, hivyo kuwezesha utoaji bora wa huduma nyingine...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya


Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial Intelligence (AI)na ugunduzi wa chanzo na athari za magonjwa kidijitali (digital pathology). Uwekezaji wa namna hii unasaidia kuhakikisha kwamba hospitali nchini Tanzania zinaendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma...

 

10 years ago

GPL

HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI

MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea. Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha Elimu ya walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania,Richard Kayombo,...

 

10 years ago

Michuzi

Tuzo za Bodi Bora Katika Sekta ya Kibenki na Bima kufanyika mwezi ujao

 Mratibu wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, Bi Neema Gerald (wa pili kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na vyombo vya habari uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, kutangaza uzinduzi wa tuzo za uongozi bora wa bodi katika sekta za benki na bima, ambazo zitamulika na kutambua mchango wa uongozi uliotukuka wa bodi za wakurugenzi kwenye sekta za benki na bima nchini. Tuzo hizo zimepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam January...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani