Sekta ya mawasiliano ya simu ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi
![](https://1.bp.blogspot.com/-AOTD59zbVW8/Xk680lr-ZMI/AAAAAAACBG0/BxSbJXTZPsAUF4niHWYQ98VzhBh-aXzTACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200220-WA0019.jpg)
Mabadiliko ya kidijitali yamekuwa moja ya chachu kubwa ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo nchini.
Juma lililopita, Umoja wa Forodha Ulimwenguni (WCO) uliweka bayana kwamba Tanzania inaweza kunufaika kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza katika teknolojia.Akizungumza jijini Dar Es Salaam, Katibu Mkuu wa WCO amesema mbali na faida nyingi, uwekezaji katika teknolojia ya kidijitali ni mojawapo ya njia bora ya kukusanya kodi na mapato ya serikali, hivyo kuwezesha utoaji bora wa huduma nyingine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ujenzi: Sekta muhimu katika kukuza uchumi, yenye changamoto lukuki
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k7ul4Jh372M/XlJg4aTrRII/AAAAAAACBm0/rcQFThN-LnIsc4F-2KS8siKV2qoJZEUngCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200223-WA0004.jpg)
Mazingira bora ya uwekezaji na biashara ni nguzo ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu
![](https://1.bp.blogspot.com/-k7ul4Jh372M/XlJg4aTrRII/AAAAAAACBm0/rcQFThN-LnIsc4F-2KS8siKV2qoJZEUngCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200223-WA0004.jpg)
Katika nchi yangu za Afrika maendeleo haya ya kidijitali yamewezakana kutokana na uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano pamoja na serikali za nchi husika kuunga mkono juhudi za sekta za sekta binafsi kisera na...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mwanamke ni nguzo katika kukuza uchumi wa familia
KWA kiasi kikubwa jamii inashindwa kutambua kuwa kumuelimisha mwanamke ni njia moja wapo ya kuiokoa jamii katika wimbi la umaskini. Hakuna asiyefahamu mwanamke katika familia ndiye nguzo kuu katika uzalishaji,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zIRqg0zJMlM/XmVJAaKQnyI/AAAAAAALiIM/00qjo0Fe6y0x_FR0oqrqZzQlgJG7HAuQQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-08%2Bat%2B9.50.21%2BPM.jpeg)
Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi
![](https://1.bp.blogspot.com/-zIRqg0zJMlM/XmVJAaKQnyI/AAAAAAALiIM/00qjo0Fe6y0x_FR0oqrqZzQlgJG7HAuQQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-08%2Bat%2B9.50.21%2BPM.jpeg)
Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa na juhudi za serikali kukuza sekta ya viwanda na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji katika sekta mbalimbali.
Matokeo ya juhudu hizo yameifanya Tanzania kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa nje wa dhahabu...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Jovago Tanzania; Simu za kisasa zitumike katika kukuza uchumi wa nchi
Matumizi ya simu za kisasa (smartphones) yameonyesha kuongezeka kwa kasi ambapo zaidi ya Terabyte 76,000 hutumika kwa mwezi mmoja, hii imekuwa ni mara mbili ya takwimu zilizofanyika mwaka 2013 ambapo kulikuwa na matumizi ya TB 37,500 kwa mwezi mmoja katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara. (Ripoti ya Subsaharan Africa Ericsson Mobility, 2014).
Kwa upande mwingine , soko la simu za kisasa pia linakua kwa kasi, ambapo inaonyesha kuwa kutakuwa na ongezeko la mara mbili ya manunuzi ya simu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GaQCabyB1gc/XlaPfTtrT8I/AAAAAAALfl8/eYvF3oErS1Qu1cUTXi-pmrgyI57iVPApQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-26%2Bat%2B18.17.39.jpeg)
Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya
![](https://1.bp.blogspot.com/-GaQCabyB1gc/XlaPfTtrT8I/AAAAAAALfl8/eYvF3oErS1Qu1cUTXi-pmrgyI57iVPApQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-26%2Bat%2B18.17.39.jpeg)
Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial Intelligence (AI)na ugunduzi wa chanzo na athari za magonjwa kidijitali (digital pathology). Uwekezaji wa namna hii unasaidia kuhakikisha kwamba hospitali nchini Tanzania zinaendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Kujituma, kujiamini nguzo muhimu katika ujasiriamali
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Heshima nguzo muhimu katika malezi ya mtoto
9 years ago
MichuziMapokezi ya Katibu Mkuu Mpya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora