TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO KATIKA KATA YA KIEGEI WILAYANI NACHINGWEA
Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imezindua mnara wa mawasiliano katika kata ya Kiegei, wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi hivi karibuni.
Akiongea na wananchi Kiegei, Mkuu wa Biashara (TTCL) kanda ya Zanzibar Bw. Hussein Nguvu amesema; kwa kutambua umuhimu wa mawasiliano, TTCL pekee ndiyo ipo katika kijiji cha KIEGEI na ipo mstari wa mbele katika kuchangia kufanikisha malengo ya Serikali katika Sekta hii mtambuka kwa maendeleo ya haraka kwa Taifa letu.
Amesema Serikali ina imani kubwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA MNARA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ARUMERU WILAYANI ARUSHA
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xviiq3LRwyY/XkWlXmqIl5I/AAAAAAALdUU/ACIDcME5fjk_AfeL6ZcAlofFzEVHhwzqgCLcBGAsYHQ/s72-c/0081bbd4-5769-4261-bae6-deaf7636066b.jpg)
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa Elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano Katika Vyuo viwili wilayani Nachingwea
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Nachingwea
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika vyuo viwili Wilayani Nachingwea ili kuwapa elimu ya uelewa Wanafunzi na walimu namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Vyuo vilivyopata elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano ni Chuo cha Uuguzi na Ukunga pamoja na Chuo cha Ualimu.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyuo hivyo Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa...
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Vijiji vya Mgandu, Manyoni kunufaika na Mnara wa mawasiliano wa TTCL
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa.(Picha na Maktaba).
Na Nathaniel Limu, Itigi.
Shirika la TTCL,linatarajia kutumia zaidi ya shilingi 503 milioni kugharamia ujenzi wa mnara wa mawasiliano katika kata ya Mgandu jimbo la Manyoni magharibi kabla ya oktoba 31 mwaka huu.
Kwa mujibu wa barua ya Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa yenye kumbukumbu no.WMST/GL/DOM.vol.3/01 ya mei 16 mwaka huu,mnara huo utanufaisha vijiji vya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WQ-yr0Yl_Bs/VZo8qBI9vWI/AAAAAAAHnOM/nsR-bJtOyRA/s72-c/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
Airtel yazindua Mnara wa Mawasiliano wilaya ya Ikungi, Singida
Meneja wa kanda ya kati wa Airtel, Bwana Stephen Akyoo, alisema Mnara huo mpya wa mawasilino ni moja kati ya mikakati ya kampuni yake kujitanua zaidi na kuboresha mtandao wa mawasiliano, huku wakiendelea kuangalia namna ya kuendelea kufanya huduma zao kuwa za...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jB_FwnqFx2Q/VkBu4vHiOzI/AAAAAAAIE8I/5tBHVxJgkV4/s72-c/unnamedA2.jpg)
Airtel yazindua mnara wa mawasiliano Mazinde wilaya ya Korogwe
![](http://4.bp.blogspot.com/-jB_FwnqFx2Q/VkBu4vHiOzI/AAAAAAAIE8I/5tBHVxJgkV4/s640/unnamedA2.jpg)
Uzinduzi huo wa mnara wa mawasiliano utawahakikishia wakazi wa Mazinde na vijiji vya jirani mawasiliano ya uhakika katika kuendesha shughuli zao za kijamii na kiuchumi kila siku ikiwemo kilimo cha katani.
Akiongea wakati wa uzinduzi, Mkuu wa wilaya ya Korogwe,...