Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar. Bw. Mahamoud Thabit Kombo.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Huawei Tanzania...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei.
Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC) kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...
11 years ago
MichuziWizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama
Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salam . Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali...
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
11 years ago
MichuziWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
10 years ago
MichuziSERIKALI YA TANZANIA YAITUNUKU HUAWEI TUZO YA UONGOZI BORA NA MCHANGO MKUBWA KATIKA SEKTA YA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO
11 years ago
MichuziWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia afungua mkutano wa wadau wa TEHAMA Jijini Dar
10 years ago
GPLWIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUTHIBITI UHARAMIA MITANDAONI