Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMU

WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMUSista Anna Enzi za uhai wake.
Msiba wa sista Anna Peterson umeibua simanzi si kwa familia yake tu bali kwa wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe alipokuwa akifanya kazi za kijamii tangu ujana wake. 
Hayo yamebainika wakati wa ibaada maalum ya kumkumbuka iliyofanyika hii leo katika kanisa la KKKT usharika wa Amani Bulongwa, ibaada iliyoongozwa na baba askofu wa dayosisi ya kusini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wingu zito latanda Simba

Wingu zito limetanda ndani ya klabu ya Simba baada ya uongozi unaomaliza muda wake kudaiwa kuchota kitita cha Sh100 milioni za msimu ujao kutoka Azam Media kwa madai ya kujenga Uwanja wa Bunju kitu ambacho hakijafanyika.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuenzi mchango wa radio katika kufanikisha maendeleo


 Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania (TADIO), Bw. Prosper Kwigize, Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Umoja wa Mataifa, Bi. Dorothy Temu, Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirikila la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tirso Dos Santos, Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale visiwani Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo, Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mambo ya Habari Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Dk. Saleh Yussuf Mnemo,...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: NAKAAYA - SISTA SISTA ft. LADY JAY DEE (Download)



" I wrote this record in 2009 alongside an artist that i had looked up to, whom later on became a dear friend @jidejaydee It was produced by @dunga_santury_trinity at Fishcrab studios. The idea behind the song was an artistic idea of two close friends/ sistas dating the same man, and the expression of the frustration that comes with it.  we had a great time creating #sistasista" - NAKAAYA


Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Nakaaya Ft Lady Jay Dee – Sista Sista

artist_85e17a792a137725bd638accbd98ec0249.jpg

Sikiliza hapa wimbo unaitwa “Sista Sista” kutoka kwa msanii Nakaaya amemshirikisha Lady Jay Dee,Studio Mandugu Digito.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini: Nini chanzo cha Uhasama uliopo kati ya mataifa haya

Miezi ya hivi karibuni , kumekuwa na uvumi kuhusu hali ya uchumi na afya kutokana na virusi vya corona, licha ya kwamba Korea Kaskazini ilithibitisha kuwa hakuna maambukizi ya corona.

 

9 years ago

Bongo5

Nakaaya akumbushia pressure aliyokuwa nayo wakati wa kujiandaa kurekodi wimbo na Lady Jaydee ‘Sista Sista’

Kwa mwanamuziki kufanya kazi kwa mara ya kwanza na muimbaji aliyekuwa akimchukulia kama mtu wake wa mfano, wasiwasi si jambo la kushangaza. Hali hiyo ndio ilimkuta Nakaaya wakati akirekodi wimbo na Lady Jaydee, Sista Sista mwaka 2009. “Niliandika wimbo huu mwaka 2009 pamoja na msanii niliyekuwa namwangalia, ambaye baadaye alikuja kuwa rafiki mkubwa, Lady Jaydee. […]

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA ITAENDELEA KUENZI KAZI NZURI INAYOFANYWA NA REDIO NCHINI NA DUNIANI


Leo tasnia ya habari nchini hususani redio, inaungana na wanahabari wengine duniani katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Redio Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 13.

Natumia fursa hii kuwapongeza wadau wote wa redio nchini kwa kuendelea kutumia chombo hicho kuwajulisha Watanzania matukio mbalimbali yanayotokea hapa nchini na duniani kwa ujumla.

Aidha, nawahakikishia wadau kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kuenzi mchango na kazi nzuri inayofanywa na redio hapa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sista Theopista: Muuguzi anayefanya kazi akiwa kipofu kwa miaka 28

>Ni harufu ya dawa, damu,  mandhari iliyotawaliwa na bomba za sindano, dripu na mavazi meupe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Anna Tibaijuka afutwa kazi hadharani

Kashfa ya uchotwaji wa fedha za akaunti ya Escrow imemwondoa kigogo wa pili nchini Tanzania na Rais Kikwete kutangaza kwamba atateua mtu mwingine kuchukua nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani