Wingu zito latanda Simba
Wingu zito limetanda ndani ya klabu ya Simba baada ya uongozi unaomaliza muda wake kudaiwa kuchota kitita cha Sh100 milioni za msimu ujao kutoka Azam Media kwa madai ya kujenga Uwanja wa Bunju kitu ambacho hakijafanyika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi11 Jul
WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMU
Msiba wa sista Anna Peterson umeibua simanzi si kwa familia yake tu bali kwa wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe alipokuwa akifanya kazi za kijamii tangu ujana wake.
Hayo yamebainika wakati wa ibaada maalum ya kumkumbuka iliyofanyika hii leo katika kanisa la KKKT usharika wa Amani Bulongwa, ibaada iliyoongozwa na baba askofu wa dayosisi ya kusini...
10 years ago
Mtanzania07 Nov
Wingu zito IPTL
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
WINGU zito limeendelea kutanda kuhusu uchunguzi wa sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kusema hajapokea taarifa yoyote ya uchunguzi wa Sh bilioni 200 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Alisema kama angekuwa ameipokea kamwe haoni sababu ya kukaa nayo kimya.
Alisema pindi akiipokea taarifa hiyo ataiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda kama utaratibu unavyotakiwa.
Pinda alitoa kauli hiyo bungeni...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Wingu zito Kura ya Maoni ya Katiba
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Ugaidi’ Tanga bado wingu zito
Amina Omari, TANGA na Fredy Azzah, Dar
ZIKIWA zimepita siku sita tangu tukio la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kurushiana risasi kwa takribani saa 48 na watu wanaodaiwa kuwa ni kikundi cha uporaji silaha, wingu zito limeendelea kutanda juu ya suala hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Chagonja, kutoa kauli katika moja ya mikutano na waandishi wa habari na kudai tukio hilo limehusisha vijana aliowaita...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Bifu zito Simba SC
NI wazi mchuano katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba unazidi kuibua visasi, baada ya jana baadhi ya wagombea kununiana na kukataa kupeana mikono walipokutana kwenye ukumbi wa Gymkhana jijini...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Kerr ampa jukumu zito Hanspope Simba
NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ameipa jukumu zito kamati ya usajili ya klabu hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hanspope, kuhakikisha wanasajili mshambuliaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Simba ina washambuliaji; Khamis Kiiza, Ibrahim Ajibu, Elias Maguli na Mussa Hassan ‘Mgosi’, lakini agizo hilo la kocha limetokana na ubutu ulioonekana katika timu yake.
Katika mchezo wake wa Jumamosi dhidi ya Sports Club Villa Uwanja wa Taifa, Simba...
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Giza nene latanda ndani ya Chadema
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Wingu lazidi kutanda Z’bar
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Wingu lisilo la kawaida linalosafiri kilomita 10,000 kutoka Afrika hadi Amerika