Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wingu zito IPTL

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Na Bakari Kimwanga, Dodoma

WINGU zito limeendelea kutanda kuhusu uchunguzi wa sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kusema hajapokea taarifa yoyote ya uchunguzi wa Sh bilioni 200 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.

Alisema kama angekuwa ameipokea kamwe haoni sababu ya kukaa nayo kimya.

Alisema pindi akiipokea taarifa hiyo ataiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda kama utaratibu unavyotakiwa.

Pinda alitoa kauli hiyo bungeni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wingu zito latanda Simba

Wingu zito limetanda ndani ya klabu ya Simba baada ya uongozi unaomaliza muda wake kudaiwa kuchota kitita cha Sh100 milioni za msimu ujao kutoka Azam Media kwa madai ya kujenga Uwanja wa Bunju kitu ambacho hakijafanyika.

 

10 years ago

Mtanzania

Ugaidi’ Tanga bado wingu zito

paul-chagonja1Amina Omari, TANGA na Fredy Azzah, Dar

ZIKIWA zimepita siku sita tangu tukio la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kurushiana risasi kwa takribani saa 48 na watu wanaodaiwa kuwa ni kikundi cha uporaji silaha, wingu zito limeendelea kutanda juu ya suala hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Chagonja, kutoa kauli katika moja ya mikutano na waandishi wa habari na kudai tukio hilo limehusisha vijana aliowaita...

 

10 years ago

Mwananchi

Wingu zito Kura ya Maoni ya Katiba

Mchakato wa Katiba Mpya, hatua ya Kura ya Maoni umegubikwa na wingu zito kutokana na kuibuka utata na ukiukwaji wa sheria.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zito kujadili wazi IPTL

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoHATIMAYE Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu utoaji wa zaidi ya Sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto.

 

9 years ago

Mwananchi

Wingu lazidi kutanda Z’bar

Wingu zito linaendelea kutanda kwenye anga za siasa visiwani hapa baada ya Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi kusema mchakato wa kupanga bajeti kwa ajili ya marudio ya uchaguzi umekamilika, huku CUF ikishangazwa na kupinga tamko hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wingu lisilo la kawaida linalosafiri kilomita 10,000 kutoka Afrika hadi Amerika

Wingu jeusi lililojaa vumbi limekuwa likitanda katika eneo la Atlantic kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

Michuzi

WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMU

WINGU JEUSI LATANDA MSIBA WA SISTA ANNA, DAYOSISI YA KUSINI KATI YATANGAZA KUENDELEA KUENZI KAZI ZA MAREHEMUSista Anna Enzi za uhai wake.
Msiba wa sista Anna Peterson umeibua simanzi si kwa familia yake tu bali kwa wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe alipokuwa akifanya kazi za kijamii tangu ujana wake. 
Hayo yamebainika wakati wa ibaada maalum ya kumkumbuka iliyofanyika hii leo katika kanisa la KKKT usharika wa Amani Bulongwa, ibaada iliyoongozwa na baba askofu wa dayosisi ya kusini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bifu zito Simba SC

NI wazi mchuano katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba unazidi kuibua visasi, baada ya jana baadhi ya wagombea kununiana na kukataa kupeana mikono walipokutana kwenye ukumbi wa Gymkhana jijini...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AUNDIWA ZENGWE ZITO

Na Mwandishi Wetu MTEULE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, Dk.John Pombe Magufuli, anaundiwa zengwe zito na wapinzani wake kisiasa baada ya kubaini kuwa watapata taabu kubwa kuibuka na ushindi katika patashika hiyo itakayofanyika Oktoba mwaka huu....soma zaidi===>http://bit.ly/1fiBy8M

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani