Wingu lazidi kutanda Z’bar
Wingu zito linaendelea kutanda kwenye anga za siasa visiwani hapa baada ya Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi kusema mchakato wa kupanga bajeti kwa ajili ya marudio ya uchaguzi umekamilika, huku CUF ikishangazwa na kupinga tamko hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Ebola:Hofu yaendelea kutanda A.Magharibi
10 years ago
GPLMAFURIKO YAITIKISA DAR, HALI YA WASIWASI YAZIDI KUTANDA
10 years ago
StarTV18 Feb
Utekaji Albino, Hofu yaendelea kutanda kwa jamii.
Na Rogers Willium,
Mwanza.
Wakati jeshi la polisi nchini likihangaika kumtafuta mtoto Pendo Emanuel mwenye ulemavu wa Ngozi baada ya kutekwa na watu wasiofahamika desemba 27 mwaka jana, mtoto mwingine wa mwaka mmoja Yohana Bahati ametekwa mkoani Geita.
Mtoto huyo ametekwa usiku wa kuamkia siku ya jumatatu nyumbani kwao katika kijiji cha Ilelema Wilaya ya Chato na watu wasiofahamika.
Matukio yote haya yanafanyika ndani ya siku 50 na hivyo kuleta hofu katika jamii hususan kwa watu...
10 years ago
Mtanzania07 Nov
Wingu zito IPTL
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
WINGU zito limeendelea kutanda kuhusu uchunguzi wa sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kusema hajapokea taarifa yoyote ya uchunguzi wa Sh bilioni 200 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Alisema kama angekuwa ameipokea kamwe haoni sababu ya kukaa nayo kimya.
Alisema pindi akiipokea taarifa hiyo ataiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda kama utaratibu unavyotakiwa.
Pinda alitoa kauli hiyo bungeni...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-lH6ACgqN7rA/VECrdWNqxzI/AAAAAAACRw4/68b1lGJm_uU/s72-c/IMG-20141016-WA0014.jpg)
UTATA WAZIDI KUTANDA UMRI NA UHALALI WA MISS TANZANIA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-lH6ACgqN7rA/VECrdWNqxzI/AAAAAAACRw4/68b1lGJm_uU/s1600/IMG-20141016-WA0014.jpg)
Aidha wadau hao wamezidi kwenda mbali zaidi kwa kuweka picha ya mrembo huyo...
11 years ago
Mwananchi11 May
Wingu zito latanda Simba
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Wingu zito Kura ya Maoni ya Katiba
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Ugaidi’ Tanga bado wingu zito
Amina Omari, TANGA na Fredy Azzah, Dar
ZIKIWA zimepita siku sita tangu tukio la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kurushiana risasi kwa takribani saa 48 na watu wanaodaiwa kuwa ni kikundi cha uporaji silaha, wingu zito limeendelea kutanda juu ya suala hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Chagonja, kutoa kauli katika moja ya mikutano na waandishi wa habari na kudai tukio hilo limehusisha vijana aliowaita...
5 years ago
BBCSwahili24 Jun
Wingu lisilo la kawaida linalosafiri kilomita 10,000 kutoka Afrika hadi Amerika