UTATA WAZIDI KUTANDA UMRI NA UHALALI WA MISS TANZANIA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-lH6ACgqN7rA/VECrdWNqxzI/AAAAAAACRw4/68b1lGJm_uU/s72-c/IMG-20141016-WA0014.jpg)
Baada ya kuonekana kuwa mrembo wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, amedanga kuhusu umri wake halali aliotakiwa kutaja ili Kamati ya mashindano ya Miss Tanzania iweze kumruhusu kushiriki mashindano hayo au la, wadau wa tasnia ya urembo wanaomfahamu kwa karibu mrembo huyo wamekuwa wakizidi kutoa baadhi ya vidhibitisho vya mrembo huyo vinavyoonyesha umri halisi ambao ni miaka 25 badala ya ile 18 aliyoitaja.
Aidha wadau hao wamezidi kwenda mbali zaidi kwa kuweka picha ya mrembo huyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s72-c/MMGM0139.jpg)
HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE
![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s1600/MMGM0139.jpg)
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...
10 years ago
Mwananchi25 Oct
MAONI: Uchunguzi ufanyike utata wa umri wa Miss Tanzania
10 years ago
MichuziLundenga alizungumzia sakata la umri wa Miss Tanzania 2014
Picha zaidi na kilichojili vitawajia muda si mrefu
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s72-c/MMGM0139.jpg)
LUNDENGA AMTETEA MISS TANZANIA 2014 KUHUSU SAKATA LA UMRI WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s640/MMGM0139.jpg)
"Katika mashindano ya yetu,Washiriki wote hujaza fomu maalum...
10 years ago
VijimamboLUDENGA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SAKATA LA UMRI MISS TANZANIA 2014
Alipotangazwa mshindi, Miss Tanzania 2014, Sitti, ambaye ni binti wa mbunge wa jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, alivikwa taji na mtangulizi wake Happyness Watimanywa, Miss Tanzania 2013.
Kufikia taji hilo la Miss Tanzania,2014 Bi...
10 years ago
MichuziANKO HASHIM LUDENGA AFUNGUKA ZAIDI KUHUSIANA NA SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA 2014
10 years ago
Dewji Blog25 Oct
Msikilize Hashim Ludenga afunguka zaidi kuhusiana na sakata la umri wa Miss Tanzania 2014
Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga hivi karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa mshindi.
Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto. Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...
10 years ago
VijimamboMSIKILIZE HASHIM LUDENGA AFUNGA ZAIDI KUHUSIANA NA SAKATA LA UMRI WA MISS TANZANIA 2014
Baada ya kutangazwa huko, kukawa na mambo mengi yaliyosemwa kumhusu. Kuanzia tetesi za kuwa kadanganya umri mpaka elimu. Kuwa kuna rushwa ilitumika mpaka kusemwa ana mtoto.
Mkurugenzi wa Lino Angency International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza na mitandai ya Vijimambo na Kwanza...