Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014
Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Kashfa yamng’oa Miss Tanzania 2014
Shindano la mlimbwende wa Tanzania maarufu kama Miss Tanzania limetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake, huku likiandika historia mbaya baada ya mrembo wa 2014, Sitti Mtemvu kuvua taji hilo kutokana na kashfa ya kudanganya umri.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya
>Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-lH6ACgqN7rA/VECrdWNqxzI/AAAAAAACRw4/68b1lGJm_uU/s72-c/IMG-20141016-WA0014.jpg)
UTATA WAZIDI KUTANDA UMRI NA UHALALI WA MISS TANZANIA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-lH6ACgqN7rA/VECrdWNqxzI/AAAAAAACRw4/68b1lGJm_uU/s1600/IMG-20141016-WA0014.jpg)
Aidha wadau hao wamezidi kwenda mbali zaidi kwa kuweka picha ya mrembo huyo...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Utata mpya waibuka mauaji ya askari Kinapa
Imedaiwa kuwa askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) alifariki dunia baada ya risasi zaidi ya 20 kutoka katika bunduki ya SMG kufyatuka mfululizo na kumpata.
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s72-c/MMGM0139.jpg)
HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE
Tweet
Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi… kashfa na hata naona wamevuka mpaka na kuingiza mambo ya kisiasa ambayo sisi hatuyapendi, huu ni mchezo kama mchezo mwingine wowote… yani taji la mwaka mmoja limefunika mpaka katiba na Simba na Yanga?
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...
![](http://1.bp.blogspot.com/-tTTPmBjhzRc/VEYtpsjP5rI/AAAAAAAGsKY/d-1LdF6Ptwg/s1600/MMGM0139.jpg)
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Kashfa nzito Miss Tanzania
Kashfa imemwandama Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu baada ya vielelezo mbalimbali kuonyesha kuwa ameghushi umri.
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Vita ya ubunge yaingia kashfa Miss Tanzania
WAKATI mtoto wa mbunge wa Temeke, Sitti Mtemvu akiandamwa na kashfa ya kughushi umri baada ya kushinda Miss Tanzania 2014, baba mzazi wa mrembo huyo, Abbas Mtemvu, ameibuka na kudai...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Miss Tanzania bado utata
Kwa siku kumi, Kamati ya Miss Tanzania, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) wameshindwa kutatua kitendawili cha kashfa ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania