Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya

>Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014

Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

10 years ago

GPL

URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TZ MPYA!

NI balaa juu ya balaa! Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima, amejikuta akimwaga chozi kufuatia kuanza kusakamwa kwa madai  kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda kwa kuzaliwa wazazi wake. Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima. Hali hiyo ilimpata juzikati aliposakwa na paparazi wetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Miss Tanzania bado utata

Kwa siku kumi, Kamati ya Miss Tanzania, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) wameshindwa kutatua kitendawili cha kashfa ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu.

 

10 years ago

Mwananchi

UREMBO: Utata Miss Tanzania kujitoa

Siku moja baada ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ‘kueleza’ kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Facebook kulivua taji hilo, waandaaji wa mashindano hayo, Lino Agency International wamesema hawajapokea barua rasmi kutoka kwa mrembo huyo ya kulivua taji hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Uchunguzi ufanyike utata wa umri wa Miss Tanzania

>Leo katika tovuti hii tumetoa habari inayoeleza kuwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wameamua kuunda tume maalumu kuchunguza sakata la Miss Tanzania 2014,  Sitti Mtemvu.

 

10 years ago

Vijimambo

UTATA WAZIDI KUTANDA UMRI NA UHALALI WA MISS TANZANIA 2014

Baada ya kuonekana kuwa mrembo wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu, amedanga kuhusu umri wake halali aliotakiwa kutaja ili Kamati ya mashindano ya Miss Tanzania iweze kumruhusu kushiriki mashindano hayo au la, wadau wa tasnia ya urembo wanaomfahamu kwa karibu mrembo huyo wamekuwa wakizidi kutoa baadhi ya vidhibitisho vya mrembo huyo vinavyoonyesha umri halisi ambao ni miaka 25 badala ya ile 18 aliyoitaja.
Aidha wadau hao wamezidi kwenda mbali zaidi kwa kuweka picha ya mrembo huyo...

 

10 years ago

Jamtz.Com

HAYA NDO ALIYOSEMA LUNDENGA KUMALIZA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 KWENYE PRESS CONFERENCE

Tweet
 Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani  wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi… kashfa na hata naona wamevuka mpaka na kuingiza mambo ya kisiasa ambayo sisi hatuyapendi, huu ni mchezo kama mchezo mwingine wowote… yani taji la mwaka mmoja limefunika mpaka katiba na Simba na Yanga?
Hayo ni maelezo aliyoyatoa Mr. Hasheem Lundenga mbele ya Waandishi wa habari Dar es...

 

9 years ago

GPL

MISS TANZANIA YAPATA MWENYEKITI MPYA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundega akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kamati inayosimamia mashindano ya Miss Tanzania Lino International Agency imepata Mwenyekiti na wajumbe wapya watakaoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano ya urembo ya Miss Tanzania.
Akiwatambulisha wajumbe hao mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania iliyomaliza...

 

9 years ago

Mtanzania

Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania

Jokate-4-600x989NA ESTHER MNYIKA

MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.

Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.

Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani