MISS TANZANIA YAPATA MWENYEKITI MPYA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundega akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Kamati inayosimamia mashindano ya Miss Tanzania Lino International Agency imepata Mwenyekiti na wajumbe wapya watakaoandaa, kuratibu na kusimamia mashindano ya urembo ya Miss Tanzania. Akiwatambulisha wajumbe hao mbele ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania iliyomaliza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Miss Universe yapata mmiliki mpya
10 years ago
Vijimambo
EMIRATES TANZANIA YAPATA MENEJA MPYA


Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Ndege la...
10 years ago
Bongo511 Aug
Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya
10 years ago
MichuziBENKI YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA.
10 years ago
Michuzi
VODACOM TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA/Vodacom Tanzania Announces New Managing Director
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya
11 years ago
Michuzi.jpg)
Eric Ng'imaryo mwenyekiti mpya Tanzania Horticultural Association (TAHA)
.jpg)
10 years ago
Mtanzania28 Aug
Jokate Mwegelo msemaji kamati mpya Miss Tanzania
NA ESTHER MNYIKA
MSIMAMIZI wa mashindano ya Urembo Tanzania, ‘Miss Tanzania’, Hashimu Lundenga, ametambulisha kamati mpya ya muda inayoundwa na wajumbe 12 akiwemo Jokate Mwegelo aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ni Juma Pinto, makamu mwenyekiti, Lucas Ritta, katibu mkuu ni Doris Mollel na Joketi Mwegelo ambaye ndiye anakuwa msemaji wa kamati hiyo.
Wajumbe wengine ni Hoyce Temu, Mohamed Bawazir, Gladyz Shao, Magdalena Munisi, Shah Ramadhani, Hamm...