Miss Universe yapata mmiliki mpya
![](http://2.bp.blogspot.com/-j6IIG1P5oyw/VfftXkWqAkI/AAAAAAAH49g/z-1tClfeFzM/s72-c/unnamed%2B%252829%2529.jpg)
Mashindano ya maarufu ya urembo duniani, Miss Universe, sasa yatakuwa chini ya kampuni ya kusaka, kuendeleza vipaji na masoko ijulikanayo kwa jina la WME/IMG. Awali mashindano hayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirika baina ya kampuni hiyo na kampuni inayojishughulisha na masuala ya habari na burudani ya NBCUniversal na mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni, mwanasiasa na mfanyabiashara, Donald J Trump. Akizungumza jijini jana, Mwandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania, Maria...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/237.jpg)
MISS TANZANIA YAPATA MWENYEKITI MPYA
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)
![miss universe1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe1-300x194.jpg)
Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe
![miss universe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe-300x194.jpg)
Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jJ*T8rGAetlkdYmKrh6Dh8GIiM*7NI0CSIo4f5Hh-V*GYUqUULgEFNLIzFraP8Q6cKdy9em0n96ncG-7aLFHRQh/1.jpg?width=650)
MISS COLOMBIA PAULINA VEGA ATWAA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015, UMATI WAZOMEA
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Miss Universe 2015 atetea wanaomponda Miss Colombia
Mshinda wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach.
MSHINDI wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach kwa mara ya kwanza amefungukia watu wanaomponda Miss Colombia kuwa waache mara moja.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Miss Pia aliongelea kuhusiana na mshiriki huyo wa Colombia ambaye alitaka kupewa taji kimakosa baada ya kutajwa kama mshindi kimakosa na mshereheshaji (MC), Steve Harvey katika fainali zilizofanyika hivi karibuni.
“Hii ni kwa ajili ya mashabiki...
9 years ago
Bongo522 Dec
Hatutaki kusikia blanda ya Steve Harvey, Miss Columbia ndio mshindi wa Miss Universe – Rais
![1221-miss-universe-crown-getty-3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1221-miss-universe-crown-getty-3-300x194.jpg)
Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, amesema pamoja na MC wa shindano la Miss Universe, Steve Harvey kumtangaza kimakosa Miss Colombia, Ariadna Gutierrez kuwa ni mshindi na kisha kudai mshindi halali ni Miss Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach, bado kwake Ariadna ni mshindi.
Manuel Santos alisema: Nilikuwa nikiangalia Miss Universe na familia yangu na hata tulisherehekea tuliposikia kuwa Colombia inaenda kuwa Miss Universe kwa mara ya pili mfululizo. Miss Colombia alikuwa amependeza na...
10 years ago
Bongo519 Jan
Selfie ya Miss Universe Israel na Miss Lebanon yazua mgogoro mkubwa wa kisiasa katika nchi zao!
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mjl9guAucSI/VmcunQ8dO1I/AAAAAAAILFo/rR3ZECNQ4ME/s72-c/UNI2015_3102.jpg)
MISS TANZANIA Lorraine at Miss Universe 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-mjl9guAucSI/VmcunQ8dO1I/AAAAAAAILFo/rR3ZECNQ4ME/s640/UNI2015_3102.jpg)
9 years ago
Bongo529 Dec
Miss Universe 2015 Pia Alonzo awaomba mashabiki waache chuki, amsifia Miss Colombia aliyenyang’anywa taji
![PIA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/PIA-300x194.jpg)
Baada ya sintofahamu kuhusu kilichotokea kwenye shindano la Miss Universe 2015, mshindi wa taji hilo kwa mwaka huu Miss Philippines – Pia Alonzo Wurtzbach amefunguka kupitia Facebook kuwashukuru watu mbalimbali akiwemo Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi kwa dakika chache kabla ya kuvuliwa taji na kubaki kuwa mshindi wa pili.
Mrembo PIA
PIA pia amewaomba mashabiki kuacha kubishana kuhusu kile kilichotokea na kuacha kutumiana ujumbe wa chuki na kuwaambia kuwa lengo la shindano hilo ni...