Hatutaki kusikia blanda ya Steve Harvey, Miss Columbia ndio mshindi wa Miss Universe – Rais
Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, amesema pamoja na MC wa shindano la Miss Universe, Steve Harvey kumtangaza kimakosa Miss Colombia, Ariadna Gutierrez kuwa ni mshindi na kisha kudai mshindi halali ni Miss Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach, bado kwake Ariadna ni mshindi.
Manuel Santos alisema: Nilikuwa nikiangalia Miss Universe na familia yangu na hata tulisherehekea tuliposikia kuwa Colombia inaenda kuwa Miss Universe kwa mara ya pili mfululizo. Miss Colombia alikuwa amependeza na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Z9aRmmWX5XI/default.jpg)
VIMBWANGA VYA MISS UNIVERSE 2015 - MC STEVE HARVEY ALIPOCHEMSHA KUTANGAZA MSHINDI...
FULL SHOW CLICK BELOW
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)
![miss universe1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe1-300x194.jpg)
Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-AI29r59uUss/VnhZ8wlM-GI/AAAAAAAAETo/AUed4Y7TZ3k/s72-c/1130198_1280x720.jpg)
STEVE HARVEY ANNOUNCES WRONG WINNER IN MISS UNIVERSE 2015 (Full Video)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AI29r59uUss/VnhZ8wlM-GI/AAAAAAAAETo/AUed4Y7TZ3k/s600/1130198_1280x720.jpg)
Harvey said it was his mistake and that he would take responsibility for not correctly reading the card, which said that contestant Pia Alonzo Wurtzbach of the...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Achana na headlines za Steve Harvey za Miss Universe, kutana na list ya mastaa kumi wa soka waliowahi kudata kwa mamiss …
Najua headlines za Mashindano ya Miss Universe zimemalizika wiki hii, licha ya kuwa MC wa sherehe hiyo Steve Harvey kumtangaza kimamkosa Miss Colombia Ariadna Gutierrez Arevalo kama mshindi ila baadae alisahisha kosa hilo, mtu wangu wa nguvu December 24 naomba nikusogezee mastaa kumi wa soka waliowahi kudata kwa mamiss. 10- George Best na Mary Stavin Staa wa zamani wa klabu ya […]
The post Achana na headlines za Steve Harvey za Miss Universe, kutana na list ya mastaa kumi wa soka waliowahi...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)
Unaweza kukosea ukaomba radhi lakini watu wasiwe wepesi kukusamehe au kukuelewa kwamba umejikwaa kibinadamu… utata na kelele ziliibuka kwenye stage ya Planet Hollywood, Las Vegas Marekani saa chache zilizopita. Noma zaidi ni kwamba ishu haikuishia kwenye stage wala ukumbini, watu wakaingia mitandaoni kila mmoja akiongea la kwake huku wengi wakionekana kama hawajachukulia poa kosa la MC […]
The post Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)...
10 years ago
Bongo524 Dec
Ajali yamzuia Miss Universe TZ kushiriki mashindano ya kimataifa, nafasi yake yachukuliwa na mshindi wa 2
10 years ago
Vijimambo23 Dec
MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA
![](http://beauty-around.com/images/sampledata/mISS_UNIVERSE/Miss_Universe_logo_E.frstephensmuts.wordpress.jpg)
Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IkGzx41EZoI/VJkZFvM1VdI/AAAAAAAG5Tg/8jiDDbSoU3I/s72-c/60c0dfa0-695f-11e4-bed6-93ee9fdcc61d_Tanzania-Nale-Boniface.jpg)
MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-IkGzx41EZoI/VJkZFvM1VdI/AAAAAAAG5Tg/8jiDDbSoU3I/s1600/60c0dfa0-695f-11e4-bed6-93ee9fdcc61d_Tanzania-Nale-Boniface.jpg)
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe...
9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe
![miss universe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe-300x194.jpg)
Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...