Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)
Unaweza kukosea ukaomba radhi lakini watu wasiwe wepesi kukusamehe au kukuelewa kwamba umejikwaa kibinadamu… utata na kelele ziliibuka kwenye stage ya Planet Hollywood, Las Vegas Marekani saa chache zilizopita. Noma zaidi ni kwamba ishu haikuishia kwenye stage wala ukumbini, watu wakaingia mitandaoni kila mmoja akiongea la kwake huku wengi wakionekana kama hawajachukulia poa kosa la MC […]
The post Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani
Weekend hii itakuwa na headlines za urembo kwenye mataji mawili makubwa duniani, yani ni kwamba itashuhudiwa fainali ya Miss World ambayo itafanyika Dec 19 2015 ndani ya Sanya China, alafu siku inayofatia yani December 20 itakuwa ni fainali ya Miss Universe Marekani. Tanzania ina mwakilishi kwenye stage ya Miss Universe 2015 Marekani ambaye ni mrembo mwenye […]
The post Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)
![miss universe1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe1-300x194.jpg)
Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
10 years ago
GPLMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
9 years ago
Bongo522 Dec
Hatutaki kusikia blanda ya Steve Harvey, Miss Columbia ndio mshindi wa Miss Universe – Rais
![1221-miss-universe-crown-getty-3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/1221-miss-universe-crown-getty-3-300x194.jpg)
Rais wa Colombia, Juan Manuel Santos, amesema pamoja na MC wa shindano la Miss Universe, Steve Harvey kumtangaza kimakosa Miss Colombia, Ariadna Gutierrez kuwa ni mshindi na kisha kudai mshindi halali ni Miss Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach, bado kwake Ariadna ni mshindi.
Manuel Santos alisema: Nilikuwa nikiangalia Miss Universe na familia yangu na hata tulisherehekea tuliposikia kuwa Colombia inaenda kuwa Miss Universe kwa mara ya pili mfululizo. Miss Colombia alikuwa amependeza na...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Pia atwaa taji la Miss Universe kwa utata
![pia](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/pia-300x200.jpg)
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)
Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song ya ‘Aiyola’ Shangwe lilifanyika Tanga, Tanzania. Licha ya yote, kuna mambo yalitokea na hakuyapenda. Unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitazama video yote. Unataka kutumiwa MSG […]
The post Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video) appeared first on...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Z9aRmmWX5XI/default.jpg)
VIMBWANGA VYA MISS UNIVERSE 2015 - MC STEVE HARVEY ALIPOCHEMSHA KUTANGAZA MSHINDI...
FULL SHOW CLICK BELOW
10 years ago
Bongo524 Dec
Ajali yamzuia Miss Universe TZ kushiriki mashindano ya kimataifa, nafasi yake yachukuliwa na mshindi wa 2
10 years ago
Vijimambo23 Dec
MSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA KIMATAIFA
![](http://beauty-around.com/images/sampledata/mISS_UNIVERSE/Miss_Universe_logo_E.frstephensmuts.wordpress.jpg)
Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa kwa kwanza 2015 Miami, Marekani.
Hatua hii imechukuliwa baada ya mshindi husika Miss Universe Tanzania 2014, Carolyne Bernard kupata ajali na kuvunjika kidole chake cha mguu. Ripoti ya daktari imeonyesha kuwa kupona kwake kutachukua mwezi mmoja wakati mrembo anatakiwa awe mashindanoni...