Miss Universe 2015 Pia Alonzo awaomba mashabiki waache chuki, amsifia Miss Colombia aliyenyang’anywa taji
Baada ya sintofahamu kuhusu kilichotokea kwenye shindano la Miss Universe 2015, mshindi wa taji hilo kwa mwaka huu Miss Philippines – Pia Alonzo Wurtzbach amefunguka kupitia Facebook kuwashukuru watu mbalimbali akiwemo Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi kwa dakika chache kabla ya kuvuliwa taji na kubaki kuwa mshindi wa pili.
Mrembo PIA
PIA pia amewaomba mashabiki kuacha kubishana kuhusu kile kilichotokea na kuacha kutumiana ujumbe wa chuki na kuwaambia kuwa lengo la shindano hilo ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Pia Alonzo kutoka Ufilipino ashinda taji la Miss Universe 2015
Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika picha ya pamoja washiriki wenzake wa Miss Universe 2015 baada ya kuvikwa taji hilo.(Picha kwa hisani ya @MissUniverse).
Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach.
Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach katika ubora wake.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Miss Universe wa Ufilipino, Pia Alonzo Wurtzbach ameshinda taji la Miss Universe 2015 katika fainali ya mashindano hayo yamefanyika usiku wa jumapili, Planet Hollywood Las...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jJ*T8rGAetlkdYmKrh6Dh8GIiM*7NI0CSIo4f5Hh-V*GYUqUULgEFNLIzFraP8Q6cKdy9em0n96ncG-7aLFHRQh/1.jpg?width=650)
MISS COLOMBIA PAULINA VEGA ATWAA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015, UMATI WAZOMEA
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)
![miss universe1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe1-300x194.jpg)
Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Miss Universe 2015 atetea wanaomponda Miss Colombia
Mshinda wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach.
MSHINDI wa Shindano la Miss Universe 2015, Pia Alonzo Wurtzbach kwa mara ya kwanza amefungukia watu wanaomponda Miss Colombia kuwa waache mara moja.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Miss Pia aliongelea kuhusiana na mshiriki huyo wa Colombia ambaye alitaka kupewa taji kimakosa baada ya kutajwa kama mshindi kimakosa na mshereheshaji (MC), Steve Harvey katika fainali zilizofanyika hivi karibuni.
“Hii ni kwa ajili ya mashabiki...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Pia atwaa taji la Miss Universe kwa utata
![pia](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/12/pia-300x200.jpg)
9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe
![miss universe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe-300x194.jpg)
Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...
10 years ago
Vijimambo26 Jan
MISS UNIVERSE 2015 PAULINA VEGA KITOKA COLOMBIA
Huyu ndiyo alienyakua taji la Miss Universe 2015 Paulina Vega kutoka Colombia akiachia tabasamu baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa mashindano hayo yaliyokuwa yakilindika huko Doral. Fl. Hapa chini washindani wote na picha mbili za mchindi wa mashindano hayo Paulina Vega.
Read more here: http://www.miamiherald.com/news/local/community/miami-dade/doral/article8124831.html#storylink=cpy
10 years ago
Vijimambo16 Jan
JITIRIRISHE NA WASHINDANI WA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B4CB6E00000578-2911190-image-a-22_1421310533477.jpg)
![Miss Universe contestant Ziphozakhe Zokufa, of South Africa, waves to her fans during the Yamamay swimsuit runway show](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B47BCF00000578-2911190-image-a-9_1421310415039.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5002800000578-2911190-image-m-31_1421310589235.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5002400000578-2911190-image-a-32_1421310595925.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5002C00000578-2911190-image-a-33_1421310595929.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5003400000578-2911190-image-a-63_1421310750714.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5003000000578-2911190-image-a-64_1421310750720.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B5005800000578-2911190-image-a-65_1421310750725.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52CB600000578-2911190-image-a-66_1421310790035.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52CAF00000578-2911190-image-a-67_1421310790037.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52D5200000578-2911190-image-a-80_1421310897427.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52DE700000578-2911190-image-a-81_1421310897431.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52F7700000578-2911190-image-a-82_1421310897433.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52D1300000578-2911190-image-a-83_1421310971412.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52D2200000578-2911190-image-a-84_1421310971415.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52EA200000578-2911190-image-a-87_1421311057409.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/15/24B52EAA00000578-2911190-image-a-88_1421311057411.jpg)
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Pia Wurtzbach ndiye Miss Universe 2015
Las Vegas, Marekani
Usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Desemba 21, 2015 katika Ukumbi wa AXIS, Las Vegas, Nevada nchini Marekani, lile shindano kubwa la ulimbwende duniani la Miss Universe, lilitimua vumbi ambapo mrembo kutoka Ufilipino (Philippines), Pia Wurtzbach aliibuka kidedea na kuvalishwa taji hilo. Pia akiwapungia mkono mashabiki baada ya kutangazwa mshindi
Kituko katika fainali hizo, kilikuwa ni pale MC wa shindano hilo, Steve Harvey alipomtangaza kimakosa mshiriki kutoka Colombia,...