Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


URAIA WA WA RWANDA WAMLIZA MISS TZ MPYA!

NI balaa juu ya balaa! Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima, amejikuta akimwaga chozi kufuatia kuanza kusakamwa kwa madai  kwamba ni raia wa nchi jirani ya Rwanda kwa kuzaliwa wazazi wake. Miss Tanzania mpya wa mwaka  2014 aliyepokea taji kutoka kwa Sitti Abbas Mtemvu, Lilian Deuce Kamazima. Hali hiyo ilimpata juzikati aliposakwa na paparazi wetu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya

>Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kenya, Uganda, Rwanda wakamilisha vitambulisho vya uraia

WANANCHI wa mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya wamepokea kwa shangwe kuanza kwa mpango wa kutumika kwa vitambulisho vya uraia kama cheti cha kuwaruhusu kuvuka mipaka na kuingia miongoni mwa...

 

10 years ago

Michuzi

JK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Vijimambo

MISS SOUTH AFRICA NDIO MISS WORLD MPYA

Rolene Strauss Miss South Africa 2014

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PHOTOS: MISS RWANDA 2015 DORIANE KUNDWA



Doriane Kundwa, 19years old and student from the Northern Province of Rwanda, was crowned as the MISS RWANDA 2015 beating 14 other contestants. She was given a Suzuki Swift and will receive a monthly salary of $1000 during her reign. She also became brand ambassador for telecommunications company Airtel. Eish!! Here are the photos of the beautiful young lady

















 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda

Picha na 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 9

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini hati za kiapo cha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkabidhi mwongozo wa kazi anayekwenda kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda,...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI, RWANDA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa amebebwa na wacheza shoo wake siku ya mwaka mpya Kigali, Rwanda. Diamond Platnumz akifanya yake. Nyomi ya kufa mtu…

 

9 years ago

Michuzi

Miss Universe yapata mmiliki mpya

Mashindano ya maarufu ya urembo duniani, Miss Universe, sasa yatakuwa chini ya kampuni ya kusaka, kuendeleza vipaji na masoko ijulikanayo kwa jina la WME/IMG. Awali mashindano hayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirika baina ya kampuni hiyo na kampuni inayojishughulisha na masuala ya habari na burudani ya NBCUniversal na mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni, mwanasiasa na mfanyabiashara, Donald J Trump. Akizungumza jijini jana, Mwandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania, Maria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani