Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata mpya waibuka mauaji ya askari Kinapa

Imedaiwa kuwa askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) alifariki dunia baada ya risasi zaidi ya 20 kutoka katika bunduki ya SMG kufyatuka mfululizo na kumpata.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014

Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utata waibuka fedha za wanawake, vijana

FEDHA za mfuko wa wanawake na vijana katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, Mbeya zimezua utata baada ya vikundi vilivyopatiwa mikopo wanachama wake kuwa na umri wa utu uzima huku...

 

11 years ago

Mtanzania

Utata waibuka aliyechunwa ngozi Mkuranga

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti juu ya tukio la mkazi wa Kijiji cha Dondo, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, Hamisi Maimbwa (20) kufariki dunia baada ya kudaiwa kuchunwa ngozi mwili mzima na watu wasiojulikana, utata mkubwa umeibuka kuhusu tukio hilo.

Wakati ndugu na mmoja wa viongozi wa zahanati iliyomtibu Maimbwa kabla mauti hayajamkuta wakidai kuwa kijana huyo alichunwa ngozi, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ahukumiwa, utata wa sifa ya kugombea waibuka

Hai. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

 

9 years ago

Bongo Movies

Utata waibuka Baada ya Wolper Kuvishwa Pete

Baada ya hivi majuzi staa wa Bongo Movies,  Jacqueline Wolper  ‘Jacqueline Lowassa’ kuwepa picha mtandaoni akivishwa pete na mchamba wake,siku  ya jana kumeibuka  habari za udaku sambamba na picha zikimuonyesha jamaa huyo aliyemchumbia Wolper akiwa kwenye kwenye vazi la harusi na mwanamke ambaye inasemekana ni mkeo.

Habari hizo ambazo hazijathibitishwa na jamaa huyo wala Wolper zinadai kuwa jamaa ni mme wa mtu wa  ndoa  ya mwaka 2014 nchini Congo na kwa sasa mkeo yupo nchini humo akiwa hana...

 

9 years ago

Mwananchi

Utata waibuka ukweli sakata la mgombea wa ACT kutekwa

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamhoji mgombea  ubunge Jimbo la Bariadi kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Masunga Nghonzo kwa madai ya kutekwa na watu wasiojulikana katika mji wa Bariadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kifo cha mke wa askari aliyefia kwa dereva wa bodaboda utata

>Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda. Uchunguzi wa awali wa polisi unadai kuwa mwanamke huyo alilala chumbani huko usiku mzima wa kuamkia Jumapili, siku ambayo maiti yake iligunduliwa saa 12 jioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Mauaji ya ‘Tajiri Mtoto’ yaendelea kuzua utata

Mtandao wa kikundi kinachozalisha pombe kali bandia kinachodaiwa kuwa na uhusiano na baadhi ya watumishi wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unahusishwa na mipango ya kumuua mfanyabiashara Joseph Mahole maarufu ‘Tajiri Mtoto’.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa

Ernest-Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.

Na Mwandishi wetu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.

Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.

IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani