Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata waibuka fedha za wanawake, vijana

FEDHA za mfuko wa wanawake na vijana katika Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, Mbeya zimezua utata baada ya vikundi vilivyopatiwa mikopo wanachama wake kuwa na umri wa utu uzima huku...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Utata waibuka aliyechunwa ngozi Mkuranga

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti juu ya tukio la mkazi wa Kijiji cha Dondo, wilayani Mkuranga mkoani Pwani, Hamisi Maimbwa (20) kufariki dunia baada ya kudaiwa kuchunwa ngozi mwili mzima na watu wasiojulikana, utata mkubwa umeibuka kuhusu tukio hilo.

Wakati ndugu na mmoja wa viongozi wa zahanati iliyomtibu Maimbwa kabla mauti hayajamkuta wakidai kuwa kijana huyo alichunwa ngozi, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ahukumiwa, utata wa sifa ya kugombea waibuka

Hai. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

 

9 years ago

Bongo Movies

Utata waibuka Baada ya Wolper Kuvishwa Pete

Baada ya hivi majuzi staa wa Bongo Movies,  Jacqueline Wolper  ‘Jacqueline Lowassa’ kuwepa picha mtandaoni akivishwa pete na mchamba wake,siku  ya jana kumeibuka  habari za udaku sambamba na picha zikimuonyesha jamaa huyo aliyemchumbia Wolper akiwa kwenye kwenye vazi la harusi na mwanamke ambaye inasemekana ni mkeo.

Habari hizo ambazo hazijathibitishwa na jamaa huyo wala Wolper zinadai kuwa jamaa ni mme wa mtu wa  ndoa  ya mwaka 2014 nchini Congo na kwa sasa mkeo yupo nchini humo akiwa hana...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka mauaji ya askari Kinapa

Imedaiwa kuwa askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) alifariki dunia baada ya risasi zaidi ya 20 kutoka katika bunduki ya SMG kufyatuka mfululizo na kumpata.

 

9 years ago

Mwananchi

Utata waibuka ukweli sakata la mgombea wa ACT kutekwa

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamhoji mgombea  ubunge Jimbo la Bariadi kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Masunga Nghonzo kwa madai ya kutekwa na watu wasiojulikana katika mji wa Bariadi.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014

Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

5 years ago

Michuzi

MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC


Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.

Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo. 
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika fedha za walimu Kilimanjaro

Utata umeibuka kuhusu mahali zilipo Sh986 milioni ambazo walimu wa Mkoa wa Kilimanjaro walikatwa kama marejesho ya fedha walizokopa chama cha walimu cha Akiba na Mikopo (Saccos).

 

9 years ago

Dewji Blog

Ugeugeu na upapara wa kupata fedha unakwamisha vijana

_MG_1920

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na  Mpango wa Shirika la Utafiti ya Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF.

Na Mwandishi wetu

VIJANA nchini Tanzania wanatakiwa kujitambua, kuacha kuwa kigeugeu na kufanya papara ya kupata fedha kama wanataka kuendelea na kufanikiwa kibinafsi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani