Ugaidi’ Tanga bado wingu zito
Amina Omari, TANGA na Fredy Azzah, Dar
ZIKIWA zimepita siku sita tangu tukio la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kurushiana risasi kwa takribani saa 48 na watu wanaodaiwa kuwa ni kikundi cha uporaji silaha, wingu zito limeendelea kutanda juu ya suala hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Paul Chagonja, kutoa kauli katika moja ya mikutano na waandishi wa habari na kudai tukio hilo limehusisha vijana aliowaita...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 Nov
Wingu zito IPTL

Waziri Mkuu Mizengo Pinda
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
WINGU zito limeendelea kutanda kuhusu uchunguzi wa sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kusema hajapokea taarifa yoyote ya uchunguzi wa Sh bilioni 200 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Alisema kama angekuwa ameipokea kamwe haoni sababu ya kukaa nayo kimya.
Alisema pindi akiipokea taarifa hiyo ataiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda kama utaratibu unavyotakiwa.
Pinda alitoa kauli hiyo bungeni...
11 years ago
Mwananchi11 May
Wingu zito latanda Simba
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Wingu zito Kura ya Maoni ya Katiba
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Upelelezi kesi ya ugaidi bado
UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Ugaidi Tanga Siri nzito
OSCAR ASSENGA, TANGA
WAKATI nchi ikiwa bado kwenye taharuki ya mashambulio yanayodaiwa kufanana na ya kigaidi yaliyotokea katika Kijiji cha Mleni nje kidogo ya Jiji la Tanga, kumezuka madai mapya yanayowashutumu viongozi wa Jeshi la Polisi kwa kushindwa kutoa uamuzi wa haraka kudhibiti wahalifu hao.
Uzembe huo unadaiwa kufanywa na uongozi wa polisi makao makuu Dar es Salaam pamoja na Tanga na hivyo kutoa fursa kwa wahalifu kufanya mashambulio na baadaye kutoroka.
Chanzo cha kuaminika kutoka...
11 years ago
Habarileo26 Mar
Ugaidi bado ni tishio kubwa EAC - Kenyatta
RAIS wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Uhuru Kenyatta amesihi nchi wanachama kushirikiana dhidi ya ugaidi na ujangili, kwa kuwa hakuna nchi yoyote inayoweza kujiona ipo huru zaidi kuhusu matukio hayo.
10 years ago
GPL
MAPIGANO TANGA, NGOMA BADO NZITO WALE MAGAIDI WATAJWA KUWA NI MAKOMANDO
10 years ago
GPL
MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Wingu lazidi kutanda Z’bar