Ugaidi bado ni tishio kubwa EAC - Kenyatta
RAIS wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Uhuru Kenyatta amesihi nchi wanachama kushirikiana dhidi ya ugaidi na ujangili, kwa kuwa hakuna nchi yoyote inayoweza kujiona ipo huru zaidi kuhusu matukio hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
P.M:Tishio la ugaidi Uingereza ni kubwa
Uingereza inasema matukio yanayoshuhudiwa nchini Iraq na Syria yameongeza tishio la mashambulizi ya kigaidi nchini humo.
11 years ago
MichuziThe Chairperson of the Summit of the EAC Heads of State and President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta engages EAC
---------------------------------------------- The Chairperson of the Summit of the EAC Heads of State and President of the Republic of Kenya H.E. Uhuru Kenyatta, last evening engaged the staff of the Organs of the Community namely; the EAC Secretariat, the East African Legislative...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-gVoL9xvjcXE/U8VSAwsnUxI/AAAAAAAABXk/kJX9FSCSu0Q/s72-c/Hussein+Mwinyi-April24-2014.jpg)
Dk. Mwinyi akiri ugaidi ni tishio
NA MOHAMMED ISSA
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ugaidi na uharamia ni changamoto kubwa kwa nchi za Afrika Mashariki.
Amesema matatizo yanayotokea Somalia yanatishia usalama wa nchi za Afrika Mashariki na kwamba juhudi zinapaswa kuchukuliwa kudhibiti hali hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-gVoL9xvjcXE/U8VSAwsnUxI/AAAAAAAABXk/kJX9FSCSu0Q/s1600/Hussein+Mwinyi-April24-2014.jpg)
Dk. Mwinyi alisema hayo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua maonyesho ya majeshi ya nchi kavu.
Alisema matukio ya kigaidi na kiharamia yanayojitokeza kwenye nchi mbalimbali duniani,...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Kumi wakamatwa tishio la ugaidi
Tishio la ugaidi linazidi kuongezeka baada ya polisi mkoani hapa kuwakamata watu kumi kwenye msikiti wakiwa na vifaa vinavyosadikiwa kuwa vinatumika kwenye mashambulizi ya kigaidi, ikiwamo bendera nyeusi, milipuko na sare za jeshi.
10 years ago
BBCSwahili25 May
Ugaidi ni tishio la Dunia:Nasrallah
Kiongozi wa harakati za Shia wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema dunia inakabiliwa na hatari kubwa kuwahi kutokea dhidi ya mashambuzi ya kigaidi.
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Hakuna tishio la ugaidi Mwanza-Mulongo
PETER KATULANDA, MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magessa Mulongo, amesema mkoa huo uko salama na hakuna tishio lolote la ugaidi.
Alisema Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa imejipanga kukabiliana na tishio lolote linaloweza kujitokeza.
Mulongo aliwataka wananchi wa mkoa huo kuendelea na shughuli zao kama kawaida na wasiwe na hofu yoyote.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama ya mkoa huo kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi, kwenye...
10 years ago
Vijimambo05 Apr
Tishio la ugaidi lakatiza ibada Mombasa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/05/150405141518_angalican_church_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Ibada katika kanisa moja la Kianglikana nchini Kenya ilikatizwa ghafla baada ya tishio la ugaidi siku ya Jumapili.
Waumini walihamishwa kutoka kanisani hilo baada ya gari moja kuingia ndani ya uwanja wa kanisa kimabavu.
Kenya iko katika hali ya tahadhari baada ya mauaji ya watu wasiopungua 150 kaskazini mwa taifa taifa hilo.
Ibada hiyo ya Pasaka iligeuka na kuwa mbio za mguu niponye baada ya waumini kuarifiwa kuhusu gari hilo lisilo na nia njema.
Askofu wa...
10 years ago
BBCSwahili21 Aug
Ebola bado ni Tishio
wakati ugonjwa wa Ebola ukiwa hauna tiba wala chanjo,wadau wa afya wamwagiana lawama.
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Ebola bado tishio
Shirika la Afya Duniani limesema ugonjwa wa Ebola hautaweza kudhibitiwa kikamilifu katika kipindi cha mwaka mmoja unaokuja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania