Hakuna tishio la ugaidi Mwanza-Mulongo
PETER KATULANDA, MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magessa Mulongo, amesema mkoa huo uko salama na hakuna tishio lolote la ugaidi.
Alisema Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa imejipanga kukabiliana na tishio lolote linaloweza kujitokeza.
Mulongo aliwataka wananchi wa mkoa huo kuendelea na shughuli zao kama kawaida na wasiwe na hofu yoyote.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama ya mkoa huo kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi, kwenye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Iov8MuBjb3k/VXSbrQ_DeiI/AAAAAAAHc4U/8XnYFm7ryX0/s72-c/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
MULONGO AZINDUA MASHINDANO YA U13 TAIFA JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Iov8MuBjb3k/VXSbrQ_DeiI/AAAAAAAHc4U/8XnYFm7ryX0/s640/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
Akifungua mashindano haya Mh Mulongo amewataka vijana hao kujituma katika michezo na masomo kwa kuwa vyote vinakwenda sambamba.
Amelisisitizia Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuongeza juhudi katika kuimarisha soka la vijana.
Katika salam zake za utangulizi Rais wa TFF Jamal Malinzi ameeleza kuwa lengo la mashindano haya ni kuibua timu ya vijana...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-wT1Ywn6h9KM/VIlpVdnKOMI/AAAAAAADRT0/XACf0S-FNfg/s72-c/1..jpg)
RC - MULONGO AKERWA NA HALI YA USAFI ISIYO RIDHISHA JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-wT1Ywn6h9KM/VIlpVdnKOMI/AAAAAAADRT0/XACf0S-FNfg/s1600/1..jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Crp7n0m3Qag/VIlo-E9UcLI/AAAAAAADRTY/Fmtjsze7988/s1600/2..jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-74-QclfiFKk/VIlo-pv7yEI/AAAAAAADRTs/d2rcCk-OyBg/s1600/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-TFt6t7opmaQ/VIlo-M-gPxI/AAAAAAADRTU/WP9OWfGHqG4/s1600/5..jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-x-F3yUDADuI/VIlo-8C7DCI/AAAAAAADRTc/LvISemZslhw/s1600/9.jpg)
10 years ago
Vijimambo11 Feb
WAZEE MWANZA WAMUASA MULONGO KUWEKA NGUVU KWENYE ZAO LA ALIZETI.
Wazee katika Mkoa wa Mwanza, wamemshauri Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, kuanza kulima zao la alizeti ili kuuwezesha mkoa huo kuinuka kuichumi kutokana na hali mbaya ya mazao kama pamba kupoteza umaarufu kwenye sekta ya uchumi wa mkoa...
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
P.M:Tishio la ugaidi Uingereza ni kubwa
10 years ago
BBCSwahili25 May
Ugaidi ni tishio la Dunia:Nasrallah
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-gVoL9xvjcXE/U8VSAwsnUxI/AAAAAAAABXk/kJX9FSCSu0Q/s72-c/Hussein+Mwinyi-April24-2014.jpg)
Dk. Mwinyi akiri ugaidi ni tishio
NA MOHAMMED ISSA
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ugaidi na uharamia ni changamoto kubwa kwa nchi za Afrika Mashariki.
Amesema matatizo yanayotokea Somalia yanatishia usalama wa nchi za Afrika Mashariki na kwamba juhudi zinapaswa kuchukuliwa kudhibiti hali hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-gVoL9xvjcXE/U8VSAwsnUxI/AAAAAAAABXk/kJX9FSCSu0Q/s1600/Hussein+Mwinyi-April24-2014.jpg)
Dk. Mwinyi alisema hayo jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua maonyesho ya majeshi ya nchi kavu.
Alisema matukio ya kigaidi na kiharamia yanayojitokeza kwenye nchi mbalimbali duniani,...
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Kumi wakamatwa tishio la ugaidi
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-X1NgcvlIGig/VNi2_uXypLI/AAAAAAAABaI/CFpS7z49NBQ/s72-c/Mwanza.jpg)
Kali ya Mwaka Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mulongo aliyeweka Ulinzi kama wa Rais
![](http://2.bp.blogspot.com/-X1NgcvlIGig/VNi2_uXypLI/AAAAAAAABaI/CFpS7z49NBQ/s640/Mwanza.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--_JTVdLITjk/VNi2_mve4NI/AAAAAAAABaM/g5zQxrO8WVU/s640/Ulinzi.jpg)
10 years ago
Vijimambo05 Apr
Tishio la ugaidi lakatiza ibada Mombasa
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/05/150405141518_angalican_church_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Ibada katika kanisa moja la Kianglikana nchini Kenya ilikatizwa ghafla baada ya tishio la ugaidi siku ya Jumapili.
Waumini walihamishwa kutoka kanisani hilo baada ya gari moja kuingia ndani ya uwanja wa kanisa kimabavu.
Kenya iko katika hali ya tahadhari baada ya mauaji ya watu wasiopungua 150 kaskazini mwa taifa taifa hilo.
Ibada hiyo ya Pasaka iligeuka na kuwa mbio za mguu niponye baada ya waumini kuarifiwa kuhusu gari hilo lisilo na nia njema.
Askofu wa...