Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC - MULONGO AKERWA NA HALI YA USAFI ISIYO RIDHISHA JIJINI MWANZA

.Mkuu wa Mkoa aliye nyanyua Mwamvuli kumsikiliza Bibi Asia Rashidi mfanyabiashara wa soko kuu wakati wa ziara hiyo (Picha zote na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza)Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akishangaa uchafu ulio kithiri eneo la makoroboi.Gari hili lililetwa kwa ghafla baada yakusikia kuwa kuna ziara ya Mkuu wa Mkoa.Eneo la Pembeni ya iliyokuwa standi kuu ya Mwanza, ambapo Mulongo ametoa siku ishirini na moja pawe pameendelezwa.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akiwa katika Eneo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MULONGO AZINDUA MASHINDANO YA U13 TAIFA JIJINI MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magessa Mulongo leo hii kwenye uwanja wa CCM Kirumba amefungua mashindano ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 13.
Akifungua mashindano haya Mh Mulongo amewataka vijana hao kujituma katika michezo na masomo kwa kuwa vyote vinakwenda sambamba.
Amelisisitizia Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuongeza juhudi katika kuimarisha soka la vijana.
Katika salam zake za utangulizi Rais wa TFF Jamal Malinzi ameeleza kuwa lengo la mashindano haya ni kuibua timu ya vijana...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Hakuna tishio la ugaidi Mwanza-Mulongo


PETER KATULANDA, MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magessa Mulongo, amesema mkoa huo uko salama na hakuna tishio lolote la ugaidi.
Alisema Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa imejipanga kukabiliana na tishio lolote linaloweza kujitokeza.
Mulongo aliwataka wananchi wa mkoa huo kuendelea na shughuli zao kama kawaida na wasiwe na hofu yoyote.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati akitoa taarifa ya hali ya usalama ya mkoa huo kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi, kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZEE MWANZA WAMUASA MULONGO KUWEKA NGUVU KWENYE ZAO LA ALIZETI.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza na wanachi katika eneo la Lugeye Wilayani Magu.wananchi wa Nyanguge wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mwanza.Mkuu wa Mka wa Mwanza akiweka jiwe la Msingi katika Wodi ya Watoto, Zahanati ya Lugeye. Na: Atley Kuni- Mwanza.
Wazee katika Mkoa wa Mwanza, wamemshauri Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, kuanza kulima zao la alizeti ili kuuwezesha mkoa huo kuinuka kuichumi kutokana na hali mbaya ya mazao kama pamba kupoteza umaarufu kwenye sekta ya uchumi wa mkoa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kali ya Mwaka Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Mulongo aliyeweka Ulinzi kama wa Rais

Mkuu wa mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo,ambaye nimwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapo,amebuni aina mpya ya Ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara yake za kikaziAina hiyo ya ulinzi na msafara unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa,akiwemo Rais na Waziri Mkuu,ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kuigharimu kiasi kikubwa cha Pesa

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA USHAURI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI MBALIMBALI JIJINI MWANZA

Mhandisi wa huduma za Radar Bw. Lemmy Mganga akitoa maelezo ya eneo la mradi kwa wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA walipotembelea mradi huo mkoani Mwanza katika milima ya Kiseke-Ilemela : Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki akipata maelezo ya kina kutoka kwa mtaalam toka UfaransaMhandisi wa huduma za Radar Bw. Lemmy Mganga akiendelea kutoa maelezo zaidi ya utendaji kazi wa radar ya hali ya hewa iliyopo MwanzaMwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya TMA Bw. Morisson Mlaki pamoja...

 

11 years ago

Dewji Blog

Magessa Mulongo afungua maonyesho ya wajasiriamali wa SIDO jijini Arusha

IMG-20140609-WA0055

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  SIDO.

IMG-20140609-WA0058

 

IMG-20140609-WA0059

 

IMG-20140609-WA0025

 

IMG_7759

Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.

IMG_7959

Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo.

IMG_8002

Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.

IMG_8014

IMG_8133

Mkurugenzi wa Sido...

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida

WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni

Jenerali Ulimwengu

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI

DSC_1151
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji. 
Na Damas Makangale
WATENDAJI wa Mamlaka za Maji Safi na Taka, Manispaa, Halmashauri, Wakala wa Barabara na Mabasi yaendayo kasi wameshauri kuwa na utaratibu wa kuwasiliana na kushirikiana kwa pamoja ili kuleta tija katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani