Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPIGANO TANGA, NGOMA BADO NZITO WALE MAGAIDI WATAJWA KUWA NI MAKOMANDO

Na Waandishi Wetu/Uwazi
YALE mapigano yaliyotikisa Mapango ya Amboni jijini Tanga kwa saa 48 kati ya watu wanaodaiwa na wananchi kuwa ni magaidi na majeshi ya ulinzi ya Tanzania bado ngoma nzito kufuatia baadhi ya wananchi kusema mengine mapya wanayoyajua kuhusu magaidi hao, Uwazi limechimba na kuchimbua. Polisi wakipambana na magaidi hao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa Vijiji vya Mafuriko, Mikocheni, Majimoto, Kilomoni na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIRI 5 ZAVUJA MAPIGANO NA MAGAIDI TANGA

STORI: Mwandishi Wetu/Amani IMEBAINIKA! Mapambano na wahalifu wanaosadikiwa ni magaidi kwenye Kitongoji cha Amboni jijini Tanga, yameingia sura nyingine baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuvujisha siri tano, Amani limenyetishiwa. Polisi wakiwa kwenye mapigano na wahalifu hao. WALIKUWA NA WAPENZI
Kwa mujibu wa mkazi mmoja wa eneo hilo, wahalifu hao walishakuwa na wanawake kwenye eneo hilo, hivyo kama walikuwa na mpango wa...

 

10 years ago

GPL

MAPIGANO NA MAGAIDI TANGA HII NDIYO FULL STORY

Na Mwandishi Wetu, Tanga NI kama kumekucha! Siku chache tu baada ya Gazeti la Ijumaa (ndugu na hili) kuandika ukurasa wake wa mbele habari yenye kichwa; Kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini...NI HUYU, kundi jingine limeibuka na kuandika mkanda wa video wakizungumzia uhalifu. Moja ya…

 

10 years ago

Mwananchi

Ushindani urais bado ngoma nzito

Kinyang’anyiro cha kumrithi Rais Jakaya Kikwete bado ni kigumu kutokana na Watanzania wengi kushindwa kubainisha ni mwanasiasa gani wangemchagua kwa wingi iwapo angegombea urais mwaka 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Urais Ukawa bado ngoma nzito

KITENDAWILI cha nani atakuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya kambi ya upinzani katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, jana kilishindwa kupata jibu baada vyama vinavyoundwa kambi hiyo, kukutana kuanzia asubuhi hadi usiku, lakini bila ya kukubaliana.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro ngoma nzito

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake Revocatus Kuuli jana ilishindwa kujadili rufaa ya Dk. Damas Ndumbaro kutokana na wakili huyo kushindwa kutokea. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura, Kaburu ngoma nzito

Wagombea Geofrey Nyange ‘Kaburu’ na Michael Wambura wamekalia kuti kavu kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba uliopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

CCM, LOWASSA NGOMA NZITO

Mwandishi wetu NGOMA nzito inaripotiwa kuwepo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kada wake mkongwe, Edward Lowassa ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, baada ya pande hizo mbili kutupiana shutuma, kila mmoja akimponda mwenzake. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1VQSsfV

 

10 years ago

GPL

ZITTO,UKAWA NGOMA NZITO

Homa ya uchaguzi inazidi kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu huku habari kubwa ikiwa ni jeuri ya fedha iliyooneshwa na chama kipya cha Zitto Kabwe, Alliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania) kufanya uzinduzi wa kihistoria uliogharimu mamilioni ya fedha. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani