Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urais Ukawa bado ngoma nzito

KITENDAWILI cha nani atakuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya kambi ya upinzani katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, jana kilishindwa kupata jibu baada vyama vinavyoundwa kambi hiyo, kukutana kuanzia asubuhi hadi usiku, lakini bila ya kukubaliana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ushindani urais bado ngoma nzito

Kinyang’anyiro cha kumrithi Rais Jakaya Kikwete bado ni kigumu kutokana na Watanzania wengi kushindwa kubainisha ni mwanasiasa gani wangemchagua kwa wingi iwapo angegombea urais mwaka 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa ngoma nzito, waahirisha kumtaja mgombea urais

Mvutano mkali ulioibuka jana katika kikao cha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, umesababisha kushindwa kumtaja mgombea wake wa urais.

 

10 years ago

GPL

ZITTO,UKAWA NGOMA NZITO

Homa ya uchaguzi inazidi kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu huku habari kubwa ikiwa ni jeuri ya fedha iliyooneshwa na chama kipya cha Zitto Kabwe, Alliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania) kufanya uzinduzi wa kihistoria uliogharimu mamilioni ya fedha. ...

 

10 years ago

Raia Mwema

Lowassa, Ukawa ngoma nzito

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, yuko mbioni kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendel

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

GPL

MAPIGANO TANGA, NGOMA BADO NZITO WALE MAGAIDI WATAJWA KUWA NI MAKOMANDO

Na Waandishi Wetu/Uwazi
YALE mapigano yaliyotikisa Mapango ya Amboni jijini Tanga kwa saa 48 kati ya watu wanaodaiwa na wananchi kuwa ni magaidi na majeshi ya ulinzi ya Tanzania bado ngoma nzito kufuatia baadhi ya wananchi kusema mengine mapya wanayoyajua kuhusu magaidi hao, Uwazi limechimba na kuchimbua. Polisi wakipambana na magaidi hao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa Vijiji vya Mafuriko, Mikocheni, Majimoto, Kilomoni na...

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: JANUARI VS MWIGULU NGOMA NZITO!

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba (41). HOMA ya Uchaguzi Mkuu 2015 inazidi kupanda. Wapo baadhi ya wagombea wa urais ambao tayari wameshatangaza nia hadharani lakini wengine wanaendeleza harakati zao chini kwa chini.
Miongoni mwa makada ambao tayari wameonesha nia ya kutaka kugombea ni pamoja na vijana, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (40) na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro ngoma nzito

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake Revocatus Kuuli jana ilishindwa kujadili rufaa ya Dk. Damas Ndumbaro kutokana na wakili huyo kushindwa kutokea. 

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba ngoma nzito

Hofu imetanda kuhusu uwezekano wa kuvunjika kwa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na hatua ya CCM kutumia wingi wao kutaka kupitisha utaratibu wa kupiga kura za wazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani