Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba ngoma nzito

Hofu imetanda kuhusu uwezekano wa kuvunjika kwa Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na hatua ya CCM kutumia wingi wao kutaka kupitisha utaratibu wa kupiga kura za wazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba

bomani+clip

 Jaji mstaafu Mark Bomani.

Na Mwandishi wetu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.

Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.

Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...

 

11 years ago

GPL

BUNGE LA KATIBA NGOMA INOGILE!

Stori: Mwandishi Wetu, Dodoma
WAKATI msuguano  wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ukiendelea mjini Dodoma na kuzua majadiliano makali juu ya upigaji kura ya wazi au ya siri, ngoma inogile kwani inatabiriwa kuwa huenda bunge hilo lisifikishe  siku 90 za uhai wake na kuishia siku 70, baadhi wa wajumbe wameliambia Risasi Mchanganyiko. Wakizungumza bila ya kutaka kutajwa majina yao, baadhi ya wajumbe wa bunge hilo wamesema...

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro ngoma nzito

Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya mwenyekiti wake Revocatus Kuuli jana ilishindwa kujadili rufaa ya Dk. Damas Ndumbaro kutokana na wakili huyo kushindwa kutokea. 

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

11 years ago

Mwananchi

Atletico, Chelsea ngoma nzito

Atletico Madrid imeshindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani Vicente Calderon baada ya kulazimishwa sare 0-0 na Chelsea jana katika nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

10 years ago

GPL

NDINGA LA DUDE NGOMA NZITO!

Stori: Mayasa Mariwata ngoma nzito! Lile ndinga aina ya Toyota Vitz la mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambalo lilidaiwa kutumika kwa ujambazi juzikati, bado lina ugumu wa kuachiwa kutokana na watuhumiwa walioka matwa nalo kuhusishwa na makosa ya mauaji. Gari ndogo aina ya Toyota Vitz la mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka jeshi la polisi ambacho kiliomba hifadhi ya jina,...

 

10 years ago

GPL

ZITTO,UKAWA NGOMA NZITO

Homa ya uchaguzi inazidi kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu huku habari kubwa ikiwa ni jeuri ya fedha iliyooneshwa na chama kipya cha Zitto Kabwe, Alliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania) kufanya uzinduzi wa kihistoria uliogharimu mamilioni ya fedha. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura, Kaburu ngoma nzito

Wagombea Geofrey Nyange ‘Kaburu’ na Michael Wambura wamekalia kuti kavu kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba uliopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

CCM, LOWASSA NGOMA NZITO

Mwandishi wetu NGOMA nzito inaripotiwa kuwepo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kada wake mkongwe, Edward Lowassa ambaye hivi karibuni alihamia Chadema, baada ya pande hizo mbili kutupiana shutuma, kila mmoja akimponda mwenzake. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1VQSsfV

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani