Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba
Jaji mstaafu Mark Bomani.
Na Mwandishi wetu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.
Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.
Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Kigoda atoa kauli nzito
NA REHEMA MAIGALA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda amewataka wajasiriamali wanaoanza biashara zao wasiwe wanalipishwa kodi mpaka baada ya miaka mitatu. Amesema kuwalipisha kodi wajasiriamali hao kunasababisha biashara zao kutoendelea na kutofikia malengo waliyojiwekea katika uendelevu wa biashara na maendeleo kwa jumla. Akizungumza na Uhuru jana jijini Dar es Salaam, Dk. Kigoda alisema kuwalipisha kodi wajasiriamali ambao ndio kwanza wanaanza, kunawaharibia malengo yao....
9 years ago
Habarileo17 Oct
Mufti Zanzibar atoa kauli nzito
VIONGOZI wa dini wa madhehebu mbalimbali Zanzibar, wamewataka viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo wagombea wa nafasi ya urais, kukubali na kuheshimu matokeo yatakayotangazwa na taasisi husika.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TExAH774p4DhgHgntCP6q5DV3IwG*9QqXWn2gYRzPDNHraAK-SwHEX5LV7bDtC-xWkevHhNp9BlAq9zvrW7LPpR/julioooooooooo.jpg?width=650)
DUU! JULIO ATOA KAULI NZITO
10 years ago
Vijimambo02 Apr
Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mark-2April2015.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.
Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Jaji Bomani: Serikali imalizie mchakato wa Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo04 May
Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya
JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.
5 years ago
MichuziMWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
![](https://1.bp.blogspot.com/-1iYnaGyXfzk/XsIO8X7ECqI/AAAAAAAAMRs/Vsj9o_ixAskUrFFcI6ullnFDYIiww5XEQCLcBGAsYHQ/s640/2.png)
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Bunge la Katiba ngoma nzito